MNATAKA KUTUHARIBIA MKUTANO WETU WA SADC

MNATAKA KUTUHARIBIA MKUTANO WETU WA SADC

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,915
Reaction score
8,333

Muigizaji wa filamu za Bongomovies IRENE Uwoya AOMBA Connection kwa Rc Paul Makonda Kufuatia Ugeni wa SADC... Ataka Kitengo cha kumpokea Mfalme Mswati na wageni wengine Awekwe yeye, Adai yeye ni mcheshi sana na anajua sehemu mbali mbali za Dar es salaam hivyo atawatembeze na pia kuhusu ulinzi amedai kuwa yeye amepitia Scout na alikuwa kiongozi...Pia amesema kuwa Hamisa Mobetto nae amekubali kusaidia Jambo hilo la Kuwapokea Wageni
 
Wanawake wanapenda kupigwa dudu ..tena na mgeni iwe nyumba ya kupanga au mtaani
 
Duuuuuuh wambea karibuni huu uzi hautuhusu wengine
 
Naona wanaume wa dar mmeshindwa kumfikisha mpaka mtoto anaenda kutafuta ukuni nje ya uwanja....
 
Back
Top Bottom