Habari wana jf, ninauliza kama kichwa kilivyoeleza hapoi juu je, kuna umuhimu wa kuomba kurudi kazini sehemu uliyosimamishwa kazi? na je, nini athari zake kwa ujumla?
Maelezo hayajitoshelezi. Ila kama umesimamishwa kazi (sio kufukuzwa jumla) kwa sababu yoyote ile, utarudi kazini baada ya wao kukuita, unless uamue kuresign tu. Kuomba kurudi wakati hujaitwa (labda bado unachunguzwa) ni uzwazwa na hutojibiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.