Hii baridi noumaaa wapiii majotooo

Hii baridi noumaaa wapiii majotooo

Vitalis Konga

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
127
Reaction score
231
Hii baridi ya NJOMBE ni noumaa
Ndio maana vijana wa NJOMBE wakienda kusoma ULAYA hususani nchi za SCANDINAVIAN (Denmark, Sweden, Norway na Finland) wala hawapati shida wanakuwa wameshazoea hali ya hewa.

Vitalis Konga
IMG_20190803_090909_044.jpeg
 
Hatari sana mkuu hiyo laaa kama South Korea hiyo
 
Back
Top Bottom