Jamani naomba kuuliza ule mpango wa mji wa kisasa kigamboni umefikia wapi. Je maeneo tayari yamesha nunuliwa au
Maana kuna viwanja vinauzwa na mimi nimekuwa na interest ya kununua vp kuna ni vyema...
Na Ahmed Rajab
YUKO jela kama hayuko jela. Ndivyo tunavyoweza kumuelezea Omar Hassan al Bashir, rais wa zamani wa Sudan, aliyetawala kwa miaka 30 hadi Aprili mwaka huu wanajeshi wenzake...
Maadui zangu wote Ni wale watu ambao kwa namna moja ama nyingine ;
1.Niliowahi kuwasaidia
2.Niliowahi kuwapenda kwa dhati
3.Niliowahi kujitoa kwao kwa Hali na Mali
4.Niliowahi kuwaamini sana
5.Ni...
INNOCENT CYPRIAN KUNDY.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Mirambo ,Darasa la saba.
PICHA YA MTAJWA HAPO JUU NI MDOGO WANGU NA AMETOROKA NYUMBANI TANGU JUMAPILI JIONI.(21-07-2019)
NAOMBA MSAADA KWA...
Kuna mjadala mkubwa kuhusu issue ya mtu anayesemekana anajiita kigogo na yule jamaa mwehu anayetumiwa na ................Sitaki kuliongelea sana kwani lishaandikwa sana ninachotaka hapa ni kutoa...
Ukistaajabu ya musa utayaona ya tz!!!
Mkuu wa mkoa wa singida na mkuu wa wilaya ya manyoni wamezindua pikipiki nne za kufatilia mashamba mpya ya koroshow kilimo kilichoanza huko
Duuuh kuzindua...
Nimekuwa Mkoa wa Kigoma kwa muda kidogo hasa wilaya ya Kasulu.. Kati ya wanawake 10 ninaokutana nao 6-7 wana mimba na watoto wadogo pia wameambatana nao. Mtaani watoto wadogo ni wengi sana na...
Wafanyakazi watatu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo na wafanyabiashara wawili, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka sita likiwemo la kutakatisha fedha...
Barabara ya Kilwa road ni moja ya njia zilizobahatika kujengwa ktk mfumo wa highway,shida inakuja kwa hizi ratiba za kila ifikapo kuanzia mchana njia hii hufungwa kwa gari zonazotaka kuelekea...
Habari,! Natumaini utausoma Uzi huu au utaletewa taarifa kuhusu Uzi huu!
Ktk halmashauri ya wilaya ya Biharamulo Kuna mkwamo wa Mambo mengi ya kiutendaji hasa ktk kuhudumia watz!
Ukiangalia...
Mkurugenzi wa hotel ya Kitalii ya Impala na Naura za jijini Arusha,Randy Mrema na Msaidizi wake wanashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Arusha kwa kosa kuwanyanyasa na kushindwa kulipa mishahara...
Kama kawaida watu wa kanda (maalum) ya ziwa huwa tunasahau hata salamu hivyo naenda moja kwa moja kwenye mada,
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu vitabu vya hati ya kusafiria, kila mtu anasema...
Wakuu, beri ya mwezi huu mpya. Ukawe wa baraka kwenu.
Naomba kufahamishwa ni maeneo gani matulivu au mazuri ya kwenda kula burudani kwa leo usiku hapa Dar.
Naomba wataalam wa burudani mnipe...
Nipo na mtaji wa millioni 10 cash
Nataka niingize kwenye biashara kwa mkoa wowote ule nipo tayari.
Wazo langu nifungue duka niweke vitenge nguo na viatu,dukani nitakua nashinda mimi mwenyewe pia...
Kuna utapeli mpya umeingia kwa kasi kubwa hasa kwa watumishi wa umma. Kuna mtu anakupigia simu, anakutajia vigezo vyote vilivyopo kwenye faili lako la ajira either la halmashauri au tamisemi...
Kumekucha wanaJF,
Halmashauri ya Jiji la Dar wanaendesha Oparesheni ya kukamata Watu kwa kinachodaiwa kutupa takataka, Mwandishi Wa Habari Fredrick Nwaka ni miongoni Mwa waliokamatwa
Manispaa Ya...
ULIMWENGU WA ROHO:
Ulimwengu wa Roho ni nini?
Watu wengi wanasikia tuu habari ya ulimwengu wa Roho lakini hawaelewi ni nini ama nini maana yake na je ni namna gani unaweza kutumia maisha yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.