Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mmoja amekuja anajisifu kuwa ni "war President" ambaye ameapa ku root out terrorism, mwingine aliongoza nchi kwa iron fist lakini alihukumiwa kinyongo baada ya kukutwa na hatia ya kuua watu 165...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waangalieni Hawa nao ndiyo wanakizika chama. Washazika kikundi cha wapiga kelele (UKAWA) ambacho wala hakitambuliki na hakipo hata kikatiba. Baada ya haya mazishi kinachofuata n mazishi ya...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Kuna utapeli umeenea sasa hivi Dar wa watu wanaodai wamepata wafadhili kwenye mradi wa kusaidia watoto wenye mtindio wa ubongo au wanasema wana shamba darasa wamefungu huko Lindi, wanataka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni huku kwetu ambako mbunge wetu anakula sikukuu akiwa ndani. Tunaomba mamlaka inayohusika iturejeshee huduma hii muhimu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Redirect
Leo Arnold Schwarzenegger amepost picha hii na kusema Time Has Changed. akimaanisha kwamba Muda Umebadilika. Hakuweka picha hii ili mradi tu, aliondoka nyumbani kwake akiwa na mablanketi yake...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
hivi ni kwanini hapa tanzania mwanamke akivaa cheni kiunoni au miguuni anaonekana muhuni? mbona wahindi wanavaa nguo zao zile tumbo linabaki lote nje na vikuku kibao ,puani kiunoni miguuni na...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ninacho jua mm bajeti au matumizi yoyote ya Serikali hupangwa na bunge! Natamani sana kufahamu bajet ya kununua ndege hizi za ATCL ilipangwa bunge lipi? Tenda ya kununua hizo ndege kapewa nani...
1 Reactions
Replies
Views
Hivi karibuni serikali imetangaza kuingia ubia Na vyuo maalufu Tanzania Na Africa mashariki kwa ujumla. Vyuo hivyo ni vile vinavyomilikiwa Na kanisa Catholic ,vyuo hivyo ni Don bosco vilivyopo...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
' ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya ' na ' hapa kazi tu ' Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
659 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanajamvi? Nimekuwa nikiona bidhaa mbalimbali za asili kama Asali mbichi, mayai ya kwale, mafuta ya ubuyu n.k yakiuzwa kwa gharama za juu mnoo ukilinganisha na processed goods. Naomba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TUNAOMBA MSAADA WENU BINTI YETU AMEPOTEA KAMA UNAWEZA SHARE NA KWENYE MAGROUP YA WHATSAP KWA MSAADA
0 Reactions
45 Replies
6K Views
1. Hakuna uhamisho (mwalimu) 2. Hakuna increment (mwalimu) 3. Makato aslimia 15% (mwalimu) 4. Hakuna malipo ya nauli za likizo (mwalimu) 5. Hakuna Uhuru wa kutosha kazini, ni hofu tu (mwalimu)...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
My Take: Hii Barua imeandikwa kimafumbo mafumbo, hawajafunguka vizuri. Ila kwa hisia zangu, hawa masheikh wanaoongelewa ni wale walioenda kwa Mchungaji Gwajima siku ya Jumapili kumtembelea na...
2 Reactions
144 Replies
22K Views
  • Redirect
Tunaomba serikali ituweke wazi kama mambo yakupanda madaraja .pesa za likizo na mabo mengine havipo tena mtwambie. Waziri wa utumishi kila mara utasikia tunaanza kuhakiki upya vyeti kusiko isha...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ni juzi vyombo via habari karibu vyote kupitia jukwaa la wahariri (TEF) walipitisha kwa kauli moja makubaliano ya kutoandika wala kutangaza habari yoyote inayomhusu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Katika kile kilichosemwa makubaliano ya kutotaja jina la Makonda hatimae tunaona labda lilikuwa kiki tu km watoto wa mjini wasemavyo. Inawezekana ili kuuza gazeti au habari kwa sasa lazima uweke...
0 Reactions
Replies
Views
Mh. Rais tunakupongeza kwa juhudi zako za kupambana na wizi, ubadhirifu na ufisadi wa mali za umma ambapo imepelekea kuokoa fedha nyingi za serikali kupotea mikononi mwa watumishi wachache wenye...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Ubunge una raha yake kwa kipindi fulani,lakini pia n adha kubwa sana kwa wananchi unaowaongoza,yaani haukai ukatulia,labda ubadili namba ya simu (na wasiipate). Saa 2 asubuhi unaamka, unakuta...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom