Leo nimepata bahati ya kukutana na Bi Hawa Ghasia

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Ni katika mizunguko ya hapa na pale katikati ya Jiji nikakutana na huyu mama.

Nikampiga jicho mara tatu. mama bado chuma kabisa. she is a mother. so cool. reading between lines mama amejaa hekima sana na kwaa kweli Baraza la Mawaziri la Jamhuri linamuhitaji.

Kama awamu ya tano imemuweka kando tuseme ishaallah Awamu ya Sita imurudishe Barazani mapema tu.
 
Mkuuu hao Southern Corridor waskie tuuuuuu!
Jiulize kwanini Gesi ilitoka kwa Vifarru?
Halafu jiulize kwanini Mrahaba wa juzi juzi wa KOROSHOW ulitoka kwa Vitisho vya Mitama ya JWTZ? Nenda na CV ujaribu Dangote pale uje na mrejesho
Ikitokea wakapata Dhahabu kama iliyopo Nyamongo kule Tarime hakwanani mwisho wetu Kibiti sio wa CUF wala wa CCM wakiamua lao wameamua sio maslahi ya Taifa bali Corridor yao. Anyway msalmie Nappe
 
Mmmh labda kule tulikomfurusha mjerumani sio kwa hawa wamakonde
 
Mkuuu hao Southern Corridor waskie tuuuuuu!
Jiulize kwanini Gesi ilitoka kwa Vifarru?
Halafu jiulize kwanini Mrahaba wa juzi juzi wa KOROSHOW ulitoka kwa Vitisho vya Mitama ya JWTZ? Nenda na CV ujaribu Dangote pale uje na mrejesho
Ikitokea wakapata Dhahabu kama iliyopo Nyamongo kule Tarime hakwanani mwisho wetu Kibiti sio wa CUF wala wa CCM wakiamua lao wameamua sio maslahi ya Taifa bali Corridor yao. Anyway msalmie Nappe

Watu wa Kusini ni waungwana sana ila usijaribu kucheza na maslahi yao!! Hivi sakata la korosho kuna wamakonde wamesema "ake vatutenda mavelu eeeh! Haki ya Mungu na Ntume tena mwakani ing'anya ya kolosho eiii wanavyona" ukisikia hivyo kimbia!!

Maana yake hii "wanatufanya wajinga eeeh!! Hii kesi ya korosho mwakani wataipata!!" Wataipata vipi mimi na wewe hatujui!!

Kesi ya gesi najua wengi hamuielewi muache kuiongelea tafadhali!! Mnachiongea na walichotaka Wamakonde tofauti, propaganda
 
Ndio maaana nikasema ingekuwaje Mkapata utajiri wa Tanzanite kama ilivyo Arusha? Si ndio mgeweka geti pale Ikwiriri huko kwenu mwende nyie tu?? UBINAFSI na UMIMI hauwafikishi popote
 
Toa evidence za huo umimi na ubinafsi!!
 
We chinga Uchidachi
 
Ndio maaana nikasema ingekuwaje Mkapata utajiri wa Tanzanite kama ilivyo Arusha? Si ndio mgeweka geti pale Ikwiriri huko kwenu mwende nyie tu?? UBINAFSI na UMIMI hauwafikishi popote
Mlivyo watenga kote uko bado na matusi juu nyinyi mwishoo
 
hongera sana. naamini leo pia familia yako itakuwa imepata bahati kubafiloshiwa mboga za matembele, watakuwa wamepata lau nusu kilo ya utumbo! haya mwanakubahatika!
 
Back
Top Bottom