Timu ya wananchi.... Kinyonge sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
Kulikoniiii?
IMG-20190810-WA0170.jpeg
 
Mpira wa Tanzania ni kama mtu mzima kuogelea kwenye dimbwi/swimming pool ya watoto kisha kujuiona ni muogeleaji mzuri sana, ikifika wakati wa kuongelea kwenye swimming pool ya size yake inakua balaa, anameza maji kama rejeta, anatoka hoi.

Yanga/simba zikifunga vitimu vya hapa bongo kina kagera basi wanavimba vichwa balaa, wakikutana na size yao ni 5 au 6 wanarudi nazo bongo kimia..
 
Tatizo tff ina chuki na timu wananchi... inakosa kabisa uzalendo, yani inapendelea mpaka wageni. Lakini sio mbaya kwani hata wenzetu leo hawajashinda. Wananchi oyeeee😁
 
Mpira wa Tanzania ni kama mtu mzima kuogelea kwenye dimbwi/swimming pool ya watoto kisha kujuiona ni muogeleaji mzuri sana, ikifika wakati wa kuongelea kwenye swimming pool ya size yake inakua balaa, anameza maji kama rejeta, anatoka hoi.

Yanga/simba zikifunga vitimu vya hapa bongo kina kagera basi wanavimba vichwa balaa, wakikutana na size yao ni 5 au 6 wanarudi nazo bongo kimia..
Hii comment ni muruwaaa!!
 
Hongereni Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli, hizi ni juudi za awamu ya ...... !
 
Back
Top Bottom