Isaya Athanas ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kubaka na kulawiti mtoto wa miaka mitano

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,274
JELA MAISHA KWA KULAWITI, KUBAKA MTOTO WA MIAKA MITANO

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kifungo cha maisha jela Isaya Athanas (30) baada ya Mahakama hiyo kumpata na hatia ya kosa la kulawiti na kubaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano (5).

Katika utetezi wake, Isaya aliomba kupunguziwa adhabu kwani shetani alimpitia. Utetezi ambao Mahakama hiyo iliutupilia mbali.

Je unadhani kutokana na vitendo vya ubakaji na ulawiti wa watoto wadogo kukithiri kuanzia ngazi ya familia adhabu ya kifungo cha maisha jela inatosha au kuna haja ya kukazia hukumu hii kwa kuongeza adhabu zingine sambamba na kifungo cha maisha jela?

1565098741311.jpeg
 
View attachment 1173742
miaka mitano???
 
Kinondoni leo nimesoma mtu kapigwa 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 17. Huyu mtoto wa miaka 5 kapewa 5 years tu..... Hizi sheria sometime zinachanganya sana
Heading na content yake ni vitu viwili tofauti.

'Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kifungo cha maisha jela Isaya Athanas (30) baada ya Mahakama hiyo kumpata na hatia ya kosa la kulawiti na kubaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano (5)'.
 
miaka mitano???
Kinondoni leo nimesoma mtu kapigwa 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 17. Huyu mtoto wa miaka 5 kapewa 5 years tu..... Hizi sheria sometime zinachanganya sana
Kesi kama hizi ndo maana napenda kuzimaliza personaly umfanyie swalehe upumbavu hafu nkuache hai

Yaani tunamalizana personal kiroho safi tu ! Ukapige story na sir Satan huko kuzimu
Sky Eclat ni mama hivyo wakati akiandika heading ya hii habari akili yake bado ilikua imenasia kwenye kujiuliza mtoto wa miaka mitano (5) kutendewa kitendo hicho cha kishenzi.
Ila habari yake inasomeka vizuri tu kuwa ni kifungo cha maisha.
 
Sky Eclat nilikuja huku nimetoa macho nikidhani amefungwa miaka mitano tuu aisee.. Kumbe umekosea kuandika, ni kifungo cha maisha.. Anastahili kwa kweli kama alikifanya kweli hicho kitendo cha kikatili.. Akina Delicious wapo huko akawabake, yeye anabaka mtoto mdogo hivyo..

Laanakum..
 
Heading ya miaka 5 ilifanya nifungue fasta nitoe povu, ila baada ya kusoma content na kuona ni "maisha" roho imetulia japo bado anatakiwa kupata adhabu ya ziada akiwa huko jela
 
Kuna makosa hata ukipewa nafasi ya kujitetea ni bora uitumie kuomba msamaha kwa wazazi na ndugu wa upande uliokosewa kwa jinai hii ya kulawiti mtoto.

Dah ila hili ni tatizo linakuwa kwa kasi sana
 
JELA MAISHA KWA KULAWITI, KUBAKA MTOTO WA MIAKA MITANO

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kifungo cha maisha jela Isaya Athanas (30) baada ya Mahakama hiyo kumpata na hatia ya kosa la kulawiti na kubaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano (5).

Katika utetezi wake, Isaya aliomba kupunguziwa adhabu kwani shetani alimpitia. Utetezi ambao Mahakama hiyo iliutupilia mbali.

Je unadhani kutokana na vitendo vya ubakaji na ulawiti wa watoto wadogo kukithiri kuanzia ngazi ya familia adhabu ya kifungo cha maisha jela inatosha au kuna haja ya kukazia hukumu hii kwa kuongeza adhabu zingine sambamba na kifungo cha maisha jela?

View attachment 1173742
Hiyo heading imenishtua,hukumu ya ubakaji na ulawiti miaka mitano(5)?? Nashukuru maelezo yamekaa vizuri. Tuongezee na kuhasi kabisa.
 
Omba yasimkute mwanao, maana hata hiyo adhabu ya maisha utaiona ndogo.
Mtu anashindwa kupiga hata nyeto kujiridhisha? Au atafute buku aende kuwanunua wale watani zetu pia kashindwa?
Mbali na yote, mbona kuna wahudumu wengi katima bar mbalimbali wanagawa fresh tu!
Shetani atawakana wengi siku ya hukumu
 
Back
Top Bottom