'Fire exit' kwenye 'tanker' la mafuta

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,052
40,715
Picha ni kama zinavyojieleza
Screenshot_2018-10-20-12-21-11.png

20181020_122034.jpg
 
sijaelewa point yako, au unakosoa lugha ulitaka waandike fire extinguisher ??
 
Nafikiri anamaanisha F/Extinguishers zimewekwa mahali pasipotakiwa yaani nyuma ya gari badala ya kuwekwa karibu na dereva ili iwe rahisi na haraka kwa dereva kuzitumia pale moto unapotokea

Pia hapo zilipo ni rahisi kuibwa awapo kwenye mwendo mdogo hasa mlimani
 
Tatizo ni kwamba hizo F/ext zimewekwa kutimiza takwa la kisheria na sio takwa la kiufundi
Yote yamezingatiwa.Moto huanzia mbele kwenye Injini Na tenki la mafuta ya gari ukianza mbele mtu yeyote aweza ichomoa nyuma kuzima moto si lazima dreva.Ni vigumu moto kuanzia nyuma ya tanker hivyo ni rahisi mtu kuichomoa Na kuanza kuzima
 
Kwa nini moyo huanzia mbele, na kwa nini ni vigumu moto kuanzia nyuma? Ukizingatia hilo linabeba mafuta yaliyo nyuma, kukiwa na kuvuja na ikatokea kuna chanzo cha moyo karibu, huo moto hautaanzia mbele bali hapo kwenye mvujo wa mafuta.

Experience ya mioto ya malori ya mafuta kote Duniani ni kuwa mioto mingi huanzia mbele sio nyuma ndio maana ikaamuriwa fire extinguisher ziwe nyuma
 
Haileti mantiki, wakati mwingine haya matanker hugongana ma magari mengine, kichwa huungua mwishoni au kutokuungua kabisa, ila tanki linalipuka kwa moto.
 
Una uhakika gani zimewekwa nyuma peke ili hali kwa mbele hujatupigia picha tuone napo pia!!!
 
Point ya msingi ni neno fire exit tatizo la wana JF wengi kiingereza kinawasumbua sana huwezi ita hio sehemu fire exit na kuweka fire extinguisher
 
Kipimo cha IQ za wanachama wa JF ya GT.

Taa moja ya breki kushoto haiwaki na f/extingushers zimewekwa mbali na dereva ingawa pia dereva huwa anatakiwa kuwa na 1 Kg dry powder kwenye cabin yake, sasa nini kipimo cha IQ hapo?
 
Yote yamezingatiwa.Moto huanzia mbele kwenye Injini Na tenki la mafuta ya gari ukianza mbele mtu yeyote aweza ichomoa nyuma kuzima moto si lazima dreva.Ni vigumu moto kuanzia nyuma ya tanker hivyo ni rahisi mtu kuichomoa Na kuanza kuzima
OK!
 
Back
Top Bottom