Kuna Ndege inadaiwa imeanguka Dodoma!

Status
Not open for further replies.

africansongs

Member
Jan 5, 2018
83
225
Kuna ndege inadaiwa imeanguka Dodoma.

Watu kadhaa inaonekana wamefariki.

=====

Hakuna ndege iliyoanguka Dodoma, bali yakuwa mazoezi ya utayari yaliyofanywa na Mamlaka ya Viwanja vya ndege ili kuangalai ni kiwango gani cha utayari kwa Vyombo husika vinavyohusika pale ajali inapotokea.
 
Uchaguzi ukikaribia, wanasiasa wanafanya yao!!! Sishangai nikisikia haya!!! RIP watu wa Morogoro
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom