Mawazo ,Maoni,Mapendekezo,Ushauri wa kupata wafadhiri

Jan 12, 2018
6
0
Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri.

Naitwa Renatha Stephan napatikana Iringa -Kilolo Tanzania.Nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne mwaka2018.Mwaka 2018/2019nimaanza chuo katika ngazi ya cheti Chuo Kikuu Iringa University kozi ya sheria.

Mafanikio ya kusoma chuo hiki ni makubwa Kwani ninapenda sana kusoma kozi hiyo kutoka moyoni, pia kujua haki zangu za msingi katika nchi hii ya Tanzania na kuisaidia jamii kupata haki zako za msingi ,kutetea wanyonge na mengine mengi.

CHANGAMOTO
nilivoingia kwenye tasnia hii ya elimu nimebaini kuwa sababu ya umasikini nitashindwa kuendelea na masomo yangu vizuri ,na kupoteza ndoto zangu

Na hii ndio sababu iliyonisukuma kuja kwenu nikiwataka mnipe mawazo,elimu ya namna ninavyoweza kufanya ili niweze kufikia lengo nililokusudia.

Ikiwa ni pamoja Na kuwaomba mnielekeze namna ya kuandika mpango (proposal)ya kuomba ufadhiri.
Lakini pia nitashukru Kama hata kupitia jamvi hili nitaweza kupata wafadhiri moja kwa Moja.

Nitashukru ombi likijadiliwa Vema

0759646922
Renatha
renathastephan00@gmail.com
 
Nenda wa Dean wa hapo chuoni kwenu kaongee naye au Mwalimu yoyote uliyemuamini katika field yako. Wtakushauri vizuri zaidi ni nini cha kufanya kufikia malengo yako.

Huku ushauri uliopo ni wa kina Diamond na Wema, Utapoteza muda wako bure!
 
Umeandika shortly but clear na umeeleweka vizuri sana

Usijali kuwa mvumilivu mungu atasaidia(ni kwa sababu sna uwezo wa kukusaidia)

Binafsi nimewahi toa maombi hap jf (sikufankiwa)
 
Nenda wa Dean wa hapo chuoni kwenu kaongee naye au Mwalimu yoyote uliyemuamini katika field yako. Wtakushauri vizuri zaidi ni nini cha kufanya kufikia malengo yako.

Huku ushauri uliopo ni wa kina Diamond na Wema, Utapoteza muda wako bure!
ok ahsante pia
 
Back
Top Bottom