Msaada booking ya airtanzania

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wakuu naomba mwenye kujua namuna ya kupata tickets ya air tanzania kwa mazingira km aya anisaidie

Nipo congo Drc ila eneo nilipo mpka kigali ni masaa 5 ivyo nahitaji ticket kutoka kigali to dar round trip website ya airtanzania naona inanivuruga tu msaada kwa mwenye uzoefu au akili ya ziada maana km akili yangu imefika mwisho vile

Angalizo kuna watu wanania njema na wajanja wa town wapo sasa nyie wajanja pita mbali na huu uzi situmi pesa.
 
WANAKUJA MKUU WATAALAMU.... JARIBU PIA KUCHEKI NA LOCAL TRAVEL AGENTS WA HUKO
 
Asante mkuu huku mimi niko pori hatar mkuu yaani penye unafuu ni kigali na nilitaka nikifika kigali niwe na tickert tayar.
WANAKUJA MKUU WATAALAMU.... JARIBU PIA KUCHEKI NA LOCAL TRAVEL AGENTS WA HUKO
 
Mkuu bahati mbaya ili mtu aweze kukusaidia booking atahitaji kuwa na taarifa zako muhimu. Jina kamili lililopo kwenye passport, mwaka wa kuzaliwa, namba ya simu na email yako. Sasa ukimpa hizi taarifa, basi automatic unakuwa umejivua nguo, hata hiyo maana ya kutumia fake ID inakuwa haipo tena.

Hata hivyo nimejaribu kuangalia routes za Air Tanzania nimeona hawana route ya Kigali, wao wanayo route ya Bujumbura.
 
Hapa nipo kati kati mkuu bujumbura ni 4 hrs na kigali ni 5 hrs hivyo napo sio mbaya .
 
Mkuu bahati mbaya ili mtu aweze kukusaidia booking atahitaji kuwa na taarifa zako muhimu. Jina kamili lililopo kwenye passport, mwaka wa kuzaliwa, namba ya simu na email yako. Sasa ukimpa hizi taarifa, basi automatic unakuwa umejivua nguo, hata hiyo maana ya kutumia fake ID inakuwa haipo tena.

Hata hivyo nimejaribu kuangalia routes za Air Tanzania nimeona hawana route ya Kigali, wao wanayo route ya Bujumbura.
Asante mkuu kwa ushauri hilo nalo neno umesema .
 
Wakuu naomba mwenye kujua namuna ya kupata tickets ya air tanzania kwa mazingira km aya anisaidie

Nipo congo Drc ila eneo nilipo mpka kigali ni masaa 5 ivyo nahitaji ticket kutoka kigali to dar round trip website ya airtanzania naona inanivuruga tu msaada kwa mwenye uzoefu au akili ya ziada maana km akili yangu imefika mwisho vile

Angalizo kuna watu wanania njema na wajanja wa town wapo sasa nyie wajanja pita mbali na huu uzi situmi pesa.
sasa kama umeweza kuingia humu JF, unashindwaje kuingia kwenye mtandao wa airtanzania?
 
Acha maswali ya kimama unaulizwa swali na wew unauliza swali nishafanikisha huo mpango usinichafulie uzi .
 
Wakuu naomba mwenye kujua namuna ya kupata tickets ya air tanzania kwa mazingira km aya anisaidie

Nipo congo Drc ila eneo nilipo mpka kigali ni masaa 5 ivyo nahitaji ticket kutoka kigali to dar round trip website ya airtanzania naona inanivuruga tu msaada kwa mwenye uzoefu au akili ya ziada maana km akili yangu imefika mwisho vile

Angalizo kuna watu wanania njema na wajanja wa town wapo sasa nyie wajanja pita mbali na huu uzi situmi pesa.
Mbona umeweka avatar ya mchizi yule alekua na confidence mbele ya mkuu,then akapotezwa baada ya kutishiwa kunyanganywa boya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom