Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Mahakama Kuu ya Tanzania, "Masijala ya Dar es Salaam" mbele ya Mhe Jaji Dyansobela katika shauri No. 28/2017 leo tarehe 31.03.2017 imetoa amri dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kutotoa ruzuku ya...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Salamu ziwafikie wote na Heri ya mwaka mpya. Wadau wa mambo ya utalii wa ndani na mambo ya kijamii, Teamrafiki kwa uchache tumeandaa Tour ya kupanda mlima Kilimanjaro mwezi wa Tatu mwaka...
25 Reactions
312 Replies
23K Views
Nimekuwa naifuatilia sana tamthilia hii ya designated survivor na mengi yanayoonyeshwa yanaakisi changamoto katika kutawala nchi. Rais Kirkman ambaye hakutarajia kuwa Rais anaukwaa urais baada ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba mwenye dhamana ya jeshi la polisi alisema yule mtu aliyemtolea na kumtishia bastola Nape ameshakamatwa tayari. Lakini polisi ambao wako chini ya waziri...
2 Reactions
Replies
Views
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanesco kwa Kituo cha hapa Himo(Kilimanjaro) wamekuwa wababaishaji sana. Rushwa imejaa kila kona. Sisiwananchi wa vijijini (Kirua Vunjo, Mwika, Kilema, Marangu)...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wasomi wengi mara nyingi wakisoma sana huwa wanakana uwepo wa Mungu lakini wakati huohuo hawaamini ushirikina. Kuna Group kubwa duniani la athiests(watu wasioamini uwepo wa Mungu na Shetani ) na...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
kwa masikitiko makubwa halotel wamenifugia na wakati siku zote na nunua salio 1000 na kuunganisha mb leo nimefungiwa na wameniletea ujumbe huu Mpendwa mteja! Namba yako imefungiwa kwa muda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam zikufikie popote ulipo. Niende moja kwa moja kwenye point,kupitia wizara yako ulitoa waraka kwa watumishi kuhamishwa(ikama) kwa walimu katika kila halmashauri na ukasisitiza mambo haya...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Baada ya Rc wa Dar kufanya uvamizi katika kituo cha habari cha clouds, kulifuatiwa kikao cha bodi ya wahariri kulaani vikali kitendo hicho na kutangaza hatua za kutokurushwa au kuripoti habari...
10 Reactions
117 Replies
11K Views
  • Redirect
Wanajenzi habari za mda huu Naomba kuuliza ni gari ipi ambayo ukipanda kutoka dar to mwanza iko vizuri na ni luxury nataka nifanye safari huko j3 nikatembelee sehemu ya makumbusho kolomije
0 Reactions
Replies
Views
Tukiacha wale waliokulia kwenye exposure na kila kitu, Uswahilini au mitaani ambapo wengi tumekulia tulikuwa hatunaexposure ya vitu vingi sana. Kuna watu hadi wanafika Chuo kikuu walishataka kuwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Mbunge Mhe Lijualikali: Nimepata mateso makali Ukonga. Kuishi gerezani unapaswa kuwa mvumilivu na mwenye busara. Kuna mateso ya kikatili ambayo ambayo wafungwa wanafanyiwa. Kuna wakati niliumwa...
0 Reactions
Replies
Views
Kumekuwa na taarifa kwamba kuna vurugu mpakani mwa Kenya na Tanzania nimejaribu kusoma makala iliyoandikwa na gazeti la the star kenya Namanga cuts water to TZ in protest against listing Kenyans...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Redirect
Kuna ndugu yangu anaishi wilayani Kahama, anasema leo ni siku ya tatu maji hayatoki kahama , kuna fununu kuwa Tanesco wamekata umeme katika idara ya maji wilaya pamoja na mkoa wa shinyanga, je...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Muuguzi mmoja mkoani Mara jana amenusurika kwenda jela kwa baada ya kubainika kutumia cheti ambacho sii chake kupata kazi serekalini alihukumiwa jana. Kwemda jela au alipe fain baHti kalipa fain...
0 Reactions
Replies
Views
Habari za leo rafiki? Naomba nikushirikishe changamoto mpya ninayokwenda nayo, kama utaiweza karibu. Mpango uliopo sasa ni kusoma vitabu 500!! Ndio vitabu mia tano na mpango huu ni wa miaka...
7 Reactions
40 Replies
9K Views
Wakazi wa Musoma mjini imewabidi kuchota maji ziwani baada ya mamlaka ya maji safi na maji taka mjini humo (MUWASA) kuwakatia umeme kutokana na malimbikizo ya madeni
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu waungwana, Naomba kuchukua nafasi hii kumuombea msamaha kijana Makonda kwa makosa yake alioyafanya, najua wengi tulichukia na kupaza sauti zetu. Natumaini kwa utamaduni wetu mtu akikosea...
7 Reactions
92 Replies
6K Views
Back
Top Bottom