Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau hamjamboni nyote?
Pamoja na ushahidi na dalili nyingi kutoka maandiko mbalimbali ikiwamo Biblia, kwanini ndugu zetu wakiristo bado...
Mpango wa Serikali wa Gridi ya Taifa ya Maji ni mkakati mahsusi unaolenga kuunganisha vyanzo vikuu vya maji nchini kupitia mtandao wa miundombinu ya usafirishaji wa maji kwa wingi (bulk water...
Kama unasumbuliwa na maumivu ya jino au kama una meno yanayo kusumbua soma hapa.
Hasa ni kwa yale meno yenye maumivu makali maana kuna aina zaidi ya moja ya maumivu ya jino.
✍Ila Naandika hapa...
Tarehe 21 mwezi wa 5 mwaka 1996 nilikuwa nna miaka kumi nimebakiza siku chache kutimiza miaka 11( I was born on May 31)
Nikiwa natoka shuleni ( nilikuwa darasa la tano) nakuta kuna watu wengi...
Ni suala la muda tu, muda utazungumza. Abdul na Wanu watapitia kipindi kigumu zaidi ya alichopitia Humphrey Polepole, wewe kama mzazi utashuhudia na hutakuwa na msaada wowote.
Asante.
Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.
Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote...
Ndege ya Air Tanzania ya abiria na mizigo, sasa rasmi, kuanza safari ya moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda jijini Moscow, nchini Urusi kuanzia mwishoni mwa mwezi Juni, 2026
Imekuwa kawaida sana kusikia migogoro, ubadhilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya taasisi za kidini. Lakini ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema hadharani ni kwamba baadhi ya...
📌MSIMAMO WA Rais SAMIA BEI SARUJI WATIKISA — Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza hatua za kudhibiti kupanda kwa bei ya saruji na kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa kwa bei nafuu.
📌Mhe...
Biblia inavyosema kuhusu kiburi
Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za...
Kutokana na uzoefu wangu binafsi, nashauri mtu yeyote anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana kabla ya kufanya malipo.
Nilifanya malipo kwa matarajio ya kuunganishiwa huduma kwa...
Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
Habari wakuu,
Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu.
Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye...
HUNA SABABU YA KUWA BABA YA KAMBO HASA UKIWA CHINI YA MIAKA 45.
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli.
Naongea na vijana wa Tibeli, naongea na binti za Tibeli. Nazungumza na wanaume wa Tibeli...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo...
Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya kufanya kila kitu peke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.