mtu unatafuta godoro kwa mfano qfl au Tanfoam, Bei ya godoro original kwa mfano ukubwa wa 5*7 12" ni zaid ya laki 5, lakini Kuna fake yapo Hadi kwa laki 2.
hivi inakuaje haya feki yanauzwa watu...
Binafsi ninafahamu ili upate leseni daraja E lazima uwe umesoma course ya HGV
Sasa inakuwaje N.I.T ili usome HGV wanataka uwe na leseni class D
Naona kama ni funny inakuwaje mtu uwe leseni...
Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya...
Nina malalamiko juu ya Vituo vya Mwendokasi njia ya Mbagala - Kivukoni na Mbagala - Ilala Boma, abiria huteseka kupata huduma ya washroom kwa sababu ya kusubiria mabasi muda mrefu hususan jioni...
Uongozi wa Wilaya ya Ubungo umekuwa ukitoa tahadhari kwa wananchi kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño, lakini wakazi wa baadhi ya maeneo tunahoji hatua zinazochukuliwa kukabiliana na maeneo...
Shetani amekuwa na project nyingi na zilizopangwa kwa werevu mkubwa.
Sitasema project alizokuwa nazo tangu enzi hizo.Lakini nitasema kwa kifupi sana kuhusu mpango wa shetani kunasa watu kwenye...
Wakazi wa Wilaya ya Korogwe Vijijini, Mkoa wa Tanga, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto kubwa ya uvamizi wa Tembo kila mwaka. Tembo wamekuwa wakiharibu na kula mazao ya wananchi, hususan mkonge...
Watu wana shida kibao zisizotatulika. Watu wana matatizo mengi yaliyo juu ya uwezo wao; wanalia maisha magumu lakini hawana mlango wa kutokea. Watu wanatafuta “solution” ya shida za kifamilia, za...
Wakati watawala wetu wanahangaika na kina Pipitida, Mwijaku na Dotto Magari Wachina wao wameuamua kuwatrendisha wanasayansi ili kuwahamasisha watoto na vijana wao kujikita kwenye Sayansi zaidi.
Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya..
Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake?
Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini...
AFYA DHAIFU
UZEE
AJALI
KUULIWA
KUJIUA
AGENTS KAMA SUMU, TOXICITY
hivi ndio visababishi vya vifo. Hakuna mwenye uwezo wa kukutumia kifo, hakuna roho yoyote ya kifo inayokuita.
Hakuna...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya maji taka kusambaa katika Mitaa ya Tandamti / Mkunguni / Sikukuu/ Congo maeneo ya Kariakoo imefanyiwa kazi...
Nimepita huko duniani nimeona mjadala watu wakidai kwa Mila zetu waafrika baba na mtoto wa kike Kuna umri ukifika lazima kuwe na mipaka kwa baadhi ya mambo, kama vile ukaribu uliopitiliza,kua nae...
Ujumbe nitakaoutuma, naomba huu ujumbe ufike, niombi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mimi nimeingia leo kutoka safari, tumefikishwa Mbezi... waitwaje ile stendi mpya? Mbezi Magufuli. Ningeomba...
Wakuu habarini!.
Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions.
Watu wako Kanali wa NATO Kanali wa NATO! Unaweza kudhani wanatania kumbe ndiyo wameishaamini hivyo. NATO ina Kanali na jeshi tokea lini? Sijui ni Gen Z hawa ambao hawakusikiliza Dochivele ndiyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Moscow zitaanza rasmi Julai 02, 2026, hatua...
Kwenye huduma za wazi tulizotangaziwaga za air tanzania kimataifa tangu kipindi cha magu ni DAR-CHINA,DAR-INDIA,DAR-URUSI,DAR-DUBAI mimi naona angalau DAR-CHINA wateja wapo wengi na sababu za...
Ni Mto Unaotiririsha Maji Chanzo Chake Kikiwa Ni Juu Ya Milima.
Wenyeji Wanasema Kila Mtu Anayekuja Kunywa Maji Basi Amejifungua Mapacha
*Kwa Wenye Mahitaji Ya Mapacha
Safari Iwe Wilaya Ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.