Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watanzania wenzangu, inasikitisha kuona kuwa katika Wilaya ya Kahama, ambayo inakusanya mapato kwa kiwango kikubwa, bado kuna baadhi ya maeneo ya kiutawala ambayo hayana ofisi za viongozi wa...
1 Reactions
0 Replies
32 Views
Anonymous
Oil ya pikipiki tulikuwa tukinunua kwa Shilingi 12,000 ya Km 5,000 mwezi uliopita, sasa tunauziwa Shilingi 18,000 hadi 20,000. Inakuwaje tuna pandishiwa vitu namna hii jamani au nayo watasingizia...
2 Reactions
3 Replies
105 Views
Anonymous
Wakumbusheni DAWASA kuwa Kimara Temboni – Makei kuna wananchi tunaoishi na tunahitaji huduma ya maji. Ni mwezi wa pili sasa eneo hilo halijapatiwa maji, hali ambayo imekuwa kero kubwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
13 Views
PUBLIC NOTICE RESUMPTION OF FLIGHTS TO MOSCOW 4th September 2026, Dar es Salaam Further to our notice of 3rd September 2026, Air Tanzania Company Limited (ATCL) is pleased to advise customers...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Mnakula sana hii nchi jamani yaani billion 730 kwaajili ya el nino ambayo itaathiri mikoa Michache tu haifiki hata 7 hizo fedha ni nyingi sana hata ikiwa chini ya hapo bado ni fedha nyingi sana...
6 Reactions
13 Replies
224 Views
PUBLIC NOTICE TEMPORARY SUSPENSION OF FLIGHTS TO MOSCOW 3rd September 2026, Dar es Salaam Air Tanzania Company Limited (ATCL) wishes to inform its valued customers and the general public that...
2 Reactions
13 Replies
204 Views
  • Redirect
▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu...
1 Reactions
Replies
Views
Anonymous
Mfuko wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10% katika Wilaya ya Rungwe si rafiki na unatia wasiwasi kutokana na changamoto tunazokutana nazo katika kufuatilia fedha zetu. Tulifanya maombi ya mkopo wa...
0 Reactions
0 Replies
10 Views
Jana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja...
5 Reactions
53 Replies
469 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu...
5 Reactions
13 Replies
262 Views
Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala ametoa hoja bungeni leo, Septemba 4, 2026 katika wizara ya Habari sanaa michezo na utamaduni kuhusu maadili ya watoto wanaocheza shule za Academy za Mpira, bungeni...
4 Reactions
21 Replies
333 Views
guest-1788671453
Yani ukikaa Afrika kila kitu ni kero, halafu mtasema hawa ni watu watu wa kawaida kweli? Shithole Ofisi za serikali namba hazipatikani, zinazopatikana hazipokwlewi mfano namba moja ni NIDA...
6 Reactions
25 Replies
156 Views
Anonymous
Kilinga ni Kijiji katika Kata ya Songoro, kimepakana na misitu iliyopo ukanda wa Pori la Maliasili ya Mlima Meru. Hiyo misitu baada ya kuvunwa miti hugawanywa kwa wananchi kwa gharama nafuu ili...
1 Reactions
0 Replies
17 Views
Gigy anasema ana taharuki hajui kaitiwa nini, ila kaahidi akitoka atakuja kusema maana siyo muongo, pia kasema acha aende huenda anaweza kupewa cheo hata cha kusimamia wanayama Pia soma: Gigy...
1 Reactions
0 Replies
58 Views
Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche...
0 Reactions
9 Replies
117 Views
mtu unatafuta godoro kwa mfano qfl au Tanfoam, Bei ya godoro original kwa mfano ukubwa wa 5*7 12" ni zaid ya laki 5, lakini Kuna fake yapo Hadi kwa laki 2. hivi inakuaje haya feki yanauzwa watu...
2 Reactions
8 Replies
96 Views
Binafsi ninafahamu ili upate leseni daraja E lazima uwe umesoma course ya HGV Sasa inakuwaje N.I.T ili usome HGV wanataka uwe na leseni class D Naona kama ni funny inakuwaje mtu uwe leseni...
0 Reactions
1 Replies
37 Views
Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya...
8 Reactions
95 Replies
1K Views
Anonymous
Nina malalamiko juu ya Vituo vya Mwendokasi njia ya Mbagala - Kivukoni na Mbagala - Ilala Boma, abiria huteseka kupata huduma ya washroom kwa sababu ya kusubiria mabasi muda mrefu hususan jioni...
0 Reactions
5 Replies
126 Views
Back
Top Bottom