Mimi ndio mfalme wa muziki aina ya Bongo Piano

Mimi ndio mfalme wa muziki aina ya Bongo Piano

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
3,009
Reaction score
7,015
Sijigambi sijitapi lakini baada ya kusikiliza kichupa nilicho kianda itoshe kusema NIMEJITAWADHA RASMI kuwa Mimi ni mfalme wa wafalme king of BONGO la PIANO, huu ni mziki MPYA nilio uvumbua Mimi mfalme ALEXIDO JZ, nikichanganya Radha tofauti tofauti chocolate na maziwa kwenye beats za BONGO LA PIANO.

Still to come, save the date, 7 October

Mimi ni kenge na kwenye msafara wa mamba naenda na hakuna vyenye mtafanya, enjoy good music.

Alexido jz the new KING

d22bd139b853f9d6cb8afc3e5aac49566884b7b38bd2917c5fdf82b0af684bf0.png
 
Ninashangazwa na watu wanavo zipenda nyimbo zangu nazo waimbia, kapela barabarani, wanaonesha kufurahi wengine wanalia Kwa furaha, in short nimechoka kusubiri, 7 october, am 😴 tired, kama Kuna mtu anaweza kukimbiza muda afanye hivo watu wanasubiri BURUDANI kemkem, EEH mwenyezi MUNGU nilinde, am here for them, enjoy my people
 
NIMESHANGAZWA NA MAPOKEZI MAZURI YA MEMBERS WA JF, ITOSHE KUSEMA NAJITAWADHA RASMI KUA AM THE INTERNATIONAL ARTIST WORLD WIDE. MPAKA VIJIJINI HUKO NDANI NDANI💪💪💪💪💪🙏🙏.

THANK YOU MY FANS🔥🔥
 
Ninashangazwa na watu wanavo zipenda nyimbo zangu nazo waimbia, kapela barabarani, wanaonesha kufurahi wengine wanalia Kwa furaha, in short nimechoka kusubiri, 7 october, am 😴 tired, kama Kuna mtu anaweza kukimbiza muda afanye hivo watu wanasubiri BURUDANI kemkem, EEH mwenyezi MUNGU nilinde, am here for them, enjoy my people
Bange ni tamu sana sanaa
 
Back
Top Bottom