Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,586
Reaction score
9,818
Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu.

Nyumba tunazotilia shaka:
Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na ya Mafwele.

Msipuuze taarifa hii.
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 6
Ilikuwaje mwamba

Ova
Kuna wazulu walimuua dogo mmoja kwenye ugomvi huko bar baadae watu wakaingilia wakayamaliza aisee usiku wale wahuni jamaa akiwa anatoka nje wakamchapa risasi akafa hapo hapo Wazimbabwe waliposikia wakaenda eneo la tukio wakapiga simu ambulance ikachukua maiti wao wakaanza kulinda ile damu pale na walimwagia maji na vumbi vumbi kidogo mpaka siku maiti inasafirishwa kurudi Zimbabwe ndio wakasafisha pale na kuchukua ile damu na lile vumbi likasafirishwa pamoja na ile maiti..haikuchukua hata mwezi wale wauaji walikua wanne wengine walikufa wengine ni vichaa kabisa mpaka leo...nilipowaambia mnasikia huko Tanzania watu wanatekwa harafu haijulikani walipo wanasema waambie waende Masvingo hapo na nguo za aliektekwa wakiamua kuua ukoo wanafanya hivyo au wahusika tu hakuna watu wanaogopwa kuuawa kama Wazimbabwe hapa ila kama Mzimbabwe akiiba akiuawa hata aende wapi hakuna kitu kinatokea ila wanaouawa bila hatia mbona ni dakika kadhaa tu..
 
Back
Top Bottom