Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa )limetoa taarifa za kuwepo moto mlima Kilimanjaro na kuwatoa hofu wananchi na wadau wa uhifadhi kwamba licha ya tukio hilo shughuli za utalii...
2 Reactions
1 Replies
101 Views
guest-1787486720
Mafao changamoto jamani Ndugu nilikuwa naomba kujuwa claim approval ina chukuwa muda gani kuwa imekuwa approval paka kupata pesa zako nssf? Maana hapa sasa nimeambiwa niondoke kwenye nyumba...
2 Reactions
2 Replies
151 Views
Kila mfumo unakua na watu wa milengo mitatu tofauti wapo wale wahafidhina itikadi kali,wapo mlengo wa kati na wale mlengo wa kushoto ila wote wanafanya jambo moja sasa ipo siku mtegaji atamtega...
0 Reactions
2 Replies
112 Views
Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna...
8 Reactions
31 Replies
271 Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam, Septemba 3, 2026: Kazi 294 zimefuzu kuingia hatua ya kupigiwa kura na wananchi katika msimu wa pili wa Tuzo za Samia Kalamu Awards (SKA 2026). Kazi hizo...
0 Reactions
1 Replies
49 Views
NMB imekua na ujinga mwingi umeweka pesa kwenye akaunti unafanya manunuzi unataka kulipa kupitia NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa yaani mabenk ya Serikali yameambukizana...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Juzi kati baada ya kusoma bandiko la mlevi min -me la kuhusu bintiye na kukosa upendo kwa mama yake, ambaye Wali kuwa separated na kumfanya min kuwa single father, so mtoto kukosa motherly...
33 Reactions
250 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa wito kwa Makundi mbalimbali kufika bila kukosa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jijini Dar es Salaam, kesho Septemba 4, 2026...
2 Reactions
13 Replies
238 Views
Mwanamke mmoja aliulizwa swali na muandishi wa habari mwanamke kama ifuatavyo ifuatavyo: Muandishi: Unafikiri siku hizi ni nani mwenye tatizo zaidi linapokuja suala la uchumba na...
1 Reactions
1 Replies
64 Views
Nijuavyo kijana anaweza kuwa wa kike au wa kiume. Hivyo, ni marufuku kusema, "kijana na binti...", kutaka kulazimisha binti asiwe miongoni mwa vijana! Mara utasikia, "kijana ambaka binti..."...
13 Reactions
48 Replies
365 Views
Wanabodi, Katika kumbukumbu zangu, jana ndio kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Press Conference ya Idara ya Usalama wa Taifa (UWT-TISS) katika historia ya Tanzania. Hii ina maana moja tuu, kuna...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ualimu/kuajiriwa halmashauri. Wazee wa tgs brother hapa usipokuwa mwizi, usipofikiria nje ya box, usipokuwa na determination kali nafasi ya kutoboa itakuwa ni ndogo, kwasababu maisha yatakuwa...
3 Reactions
3 Replies
230 Views
Anonymous
Kwa kweli hali ya baadhi ya barabara za Mbeya inakera. Mashimo yamekuwa mengi kiasi kwamba kuendesha gari au pikipiki katika baadhi ya maeneo ni kama kufanya mtihani wa kila siku. Sasa tuwaulize...
2 Reactions
7 Replies
155 Views
Je viongozi wa Serikali wanajua sheria au tumeamua nchi iongozwe kwa mtizamo wa mtu mmoja mmoja? Kumeibuka kasumba kwenye shule nyingi hapa nchini kuweka kambi za kitaaluma kwa kigezo chan "vituo...
1 Reactions
0 Replies
29 Views
Eti ndo jiji lilitoa Spika wa Tanzania 🤣🤣🤣 Siwezi kulala Mbeya... Usiku huu Nageuza Iringa.. Ntalala mbele kwa mbele japo hata Makambako.. CCM mumelaaniwa.. Kwanini huyu Mzanzibari Samia...
30 Reactions
88 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari,nina malalamiko kuhusu ndugu zetu wa NSSF mkoa wa mtwara hasa wilaya ya masasi kuna watumishi walikuwa wanafanya kazi kituo cha afya REHEMA newala na walikuwa wanakatwa pesa zao lakini...
0 Reactions
Replies
Views
Kwenye betting tunasema cash out Ukiwa unatazama game inavyoenda unaweza kuona uelekeo na kutoa mzingo Mnyukano wa hoja unaendelea Namkumbuka 1. Walianza mashahidi wa Jamhuri 2. Ushahidi muhimu...
2 Reactions
7 Replies
167 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na...
3 Reactions
75 Replies
1K Views
Anonymous
Nina hoja kuhusu kampuni zinazotoa mikopo kuhusu riba kubwa sana, ambapo pia makato hufanyika kabla ya mkopo kutolewa. Hivyo, hata malengo ya mkopo hayafikiwi; kwa mfano, mtu akikopa Sh 100,000...
1 Reactions
1 Replies
52 Views
Wasusi mbalimbali nchini wameipongeza Kampuni ya Darling Hair kwa kuwawezesha kiuchumi na kuwakwamua kutoka kwenye umaskini kupitia programu yake maalumu inayofahamika kama Loyalty. Pongezi hizo...
1 Reactions
1 Replies
29 Views
Back
Top Bottom