Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu. Nyumba tunazotilia shaka: Nyumba zote...
10 Reactions
73 Replies
1K Views
Ndege ya Air Tanzania ya abiria na mizigo, sasa rasmi, kuanza safari ya moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda jijini Moscow, nchini Urusi kuanzia mwishoni mwa mwezi Juni, 2026
0 Reactions
9 Replies
198 Views
Imekuwa kawaida sana kusikia migogoro, ubadhilifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya taasisi za kidini. Lakini ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema hadharani ni kwamba baadhi ya...
10 Reactions
62 Replies
1K Views
📌MSIMAMO WA Rais SAMIA BEI SARUJI WATIKISA — Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza hatua za kudhibiti kupanda kwa bei ya saruji na kuhakikisha wananchi wanapata bidhaa kwa bei nafuu. 📌Mhe...
1 Reactions
2 Replies
213 Views
Biblia inavyosema kuhusu kiburi Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za...
2 Reactions
2 Replies
56 Views
Kutokana na uzoefu wangu binafsi, nashauri mtu yeyote anayefikiria kujiunga na Savanna Fibre kuwa makini sana kabla ya kufanya malipo. Nilifanya malipo kwa matarajio ya kuunganishiwa huduma kwa...
12 Reactions
46 Replies
830 Views
Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
13 Reactions
95 Replies
864 Views
Habari wakuu, Nikiwa mfanyabiashara wa retail, leo nimeona nitoe shukrani za dhati kwa mitaa ya Kariakoo ambayo imekuwa sehemu kubwa ya mafanikio yangu. Nilianza nikiwa nimeajiriwa kwenye...
15 Reactions
28 Replies
909 Views
HUNA SABABU YA KUWA BABA YA KAMBO HASA UKIWA CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Tz Mtibeli. Naongea na vijana wa Tibeli, naongea na binti za Tibeli. Nazungumza na wanaume wa Tibeli...
18 Reactions
178 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo...
4 Reactions
34 Replies
725 Views
Haya mchongo huo hapo msije sema sijawasanua.
2 Reactions
4 Replies
126 Views
Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya kufanya kila kitu peke...
1 Reactions
13 Replies
144 Views
KERO YA BAADHI YA WAENDESHA BODABODA Tunaiomba mamlaka husika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya vijana wanaotumia pikipiki zilizofanyiwa marekebisho, hususan kwenye mfumo wa exhaust...
2 Reactions
2 Replies
41 Views
Anonymous
Habari zenu Wana-Jukwaa, Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Anonymous
Naandika uzi huu kufikisha kwa CEO na Uongozi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) baadhi ya kero zinazowakabili wananchi na wasafiri wanapotumia huduma za stendi hiyo. Sisi kama...
1 Reactions
0 Replies
23 Views
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa )limetoa taarifa za kuwepo moto mlima Kilimanjaro na kuwatoa hofu wananchi na wadau wa uhifadhi kwamba licha ya tukio hilo shughuli za utalii...
2 Reactions
1 Replies
101 Views
guest-1787486720
Mafao changamoto jamani Ndugu nilikuwa naomba kujuwa claim approval ina chukuwa muda gani kuwa imekuwa approval paka kupata pesa zako nssf? Maana hapa sasa nimeambiwa niondoke kwenye nyumba...
2 Reactions
2 Replies
150 Views
Kila mfumo unakua na watu wa milengo mitatu tofauti wapo wale wahafidhina itikadi kali,wapo mlengo wa kati na wale mlengo wa kushoto ila wote wanafanya jambo moja sasa ipo siku mtegaji atamtega...
0 Reactions
2 Replies
112 Views
Back
Top Bottom