Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesikitishwa na baadhi ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali ya mwaka 2026/2027 kupitia Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, pamoja na muda mfupi...
Imeandikwa kwenye kuruan tukufu!,:-
Mwenyezi mungu ameshatutahadharisha kuhusu watoto na wake
يٰۤاَيُّهَا الَّذِيۡنَ اٰمَنُوۡۤا اِنَّ مِنۡ اَزۡوَاجِكُمۡ وَاَوۡلَادِكُمۡ عَدُوًّا لَّكُمۡ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewashukia wanasiasa wanaozunguka nchi nzima kufanya mikutano au kutishia maandamano kwa kigezo cha kudai Katiba Mpya...
Leo nilitembelea page ya Foods for children nikaona video ikionyesha mji wa Karatu na kushangazwa na jinsi ulivyopangiliwa. Ninadhani huu ni mji ambao hata ukisema upanue barabara hutakuwa na haja...
Katika maisha kuna kumbukumbu nzuru na mbaya ila natataka ushiriki kumbukumbu mbaya au nzuri binafsi
1 Nikiwaga mtoto years 5+ au zaidi nakumbuka tukio la shangazi yangu kunisingizia...
Watanzania hususa ni watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam hamjambo? Mmeanza kuona faida za uwepo wa DP World sio?
Watumiaji wa kawaida wa bidhaa zinazoingizwa nchini vipi si mnaona wenyewe bei...
Baada ya Mdau kuandika hoja hii ~ Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji ufafanuzi umetolewa na mamlaka husika.
UFAFANUZI WA DAWASA...
Mamlaka ya Majisafi na...
Habari,
Uzalendo ni nini?
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda ,kuithamini, kujitolea kwa hali na mali na hata kufa kwa aajili ya nchi yake.
Ukirudi mashule kuna masomo kama uraia na mengineyo lakin...
Sababu Kuu za Kutumia Collagen Kila Siku
Kurudisha Ustahimilivu wa Ngozi: Collagen hufanya kazi kama "gundi" inayoshikilia ngozi. Inasaidia kupunguza mikunjo, kuzuia ngozi kulegea, na kuifanya...
Ndugu yetu Mlawa miaka ya Jiwe alionekana kama ni mtu wa maana kumbe alikua tapeli shukrani Tundu Lissu kwa kumuumbua huyu tapeli.
Leo naomba tuchangie uchawa wa huyu Tapeli mkuu aishiye uhamishoni
Jana nimewasema vijana kutopiga kazi na wengine kutojishughulisha na kuomba omba pesa
Kwanini nilisema Kuomba omba pesa na ilinikera
Mtu Ana bando Ana simu Ana contact kibao za kuwezo kumpa...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema Serikali imefikia hatua muhimu katika maendeleo ya sekta ya madini baada ya kuridhia kutenga asilimia 10 ya makusanyo yatokanayo na sekta hiyo kwa...
Bajeti ya Serikali ya mwaka 2026/27 imeonyesha ongezeko la matumizi kutoka Tsh. Trilioni 56.49 katika mwaka 2025/26 hadi Tsh. Trilioni 62.33, sawa na ongezeko la zaidi ya Tsh. Trilioni 5.8...
Hivi huwa najiuliza what do men live for?
Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame?
Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment.
Nothing beats a better family, a...
Walishindwa kutabiri kwamba leo muda wa mechi kutakuwa na hali mbaya ya hewa itakayo lazimisha mechi kuahirishwa. They don't have that intelligence? Yani nchi kama Marekani kweli izuiliwe kufanya...
Mkaguzi na Madhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Professa Mussa Assad amesema ni muhimu kuwepo na ukaguzi na ufuatiliaji wa maisha ya wanasiasa au viongozi wanaoteuliwa kwa nafasi...
Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi...
Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Riyadh Kisuo, ameonya kuwa ongezeko la kodi kwenye sekta ya michezo ya kubahatisha linaweza kuathiri shughuli za biashara na kusababisha kupotea kwa maelfu ya ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.