Binafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation)
Nimethibitisha
Je, wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya...
TANGAZO KWA WATANZANIA WANAOISHI KATIKA JAMHURI YA AFRIKA KUSINI TAREHE 23 JUNI 2026
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawafahamisha Watanzania wote...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha maboresho ya uhuishaji wa kisima cha maji cha Kwala kilichopo kijiji cha Minazi mikinda, kwa lengo la kuwezesha...
Katika dini zote dhambi zinazopewa kipaumbele zaidi katika masuala ya maadili ni ngono (zaidi sana ushoga halafu uasherati na uzinzi kiasi), mavazi ya wanawake na ulaji kitimoto kwa wasiokula...
Kama Umri Wako Unasoma Miaka 20 – 40, Uko Kwenye Daraja Hatari Zaidi.
Hapa Ndipo Unapochora Ramani Ya Uzeeni Kwako, Au Unapochimba Kaburi La Majuto Yako.
Kabla 50 Haijakugonga Ukaanza Kuilaumu...
Kizazi hiki asa hivi hakitumii pombe kabisa labda mtuambie sie baba zenu mnatumia nini nyinyi mibangi au mnapemesa nyie,sio kawaida mtaani watu hawayumbi tena kama zamani na mikao ya pombe imekuwa...
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia.
Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki.
Ukizingatia mbegu, upandaji,
Mbolea na...
Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako.
Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu...
Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu.
Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu.
mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio...
90% ya wahudumu wa baa ni ma single mother na ukiwanunulia pombe na chakula unaenda kulala nae.
90% ya wahudumu wa saloon ni ma single mother na tabia zao zinajulikana.
90% ya wanaojiuza...
CHUNYA, MBEYA
Katika miaka ya hivi karibuni, athari za mabadiliko ya tabianchi zimeanza kujidhihirisha kwa kasi kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya.
Wilaya hii, ambayo kwa...
Watanzania habari zenu,
Week Jana nimejariwa kuruka mpaka Ukraine, Odessa,
Kazi iliyonileta huku ni moja Tu na wala si Nyingine niwe mkweli kabisaaaa
Niko nafanya kazi ya kusafisha maeneo ya...
Niaje waungwana
Ikitokea mtu ana Mil 5 keshi, lakini anahitaji bajaji mpya. Akienda katika dula linalouza, au kukopesha bajaji Dar na mdhamini wake. Kisha awambie kuwa ana Mil 5, anaomba bajaji...
Taarifa ya Chama cha Muungano wa Ustawi na Maendeleo (chama cha serekali iliyopita ya Iraq) kuhusu madai ya Mikopo ya Serikali ya Waziri Mkuu wa Iraq, Bw. Mohammed Shia Al-Sudani, ni ya Uongo...
Kipande cha video kutoka kituo cha televisheni cha Alawla TV kimezua mjadala mzito mtandaoni kikimwonyesha Mbunge wa Iraq akidai kuwa serikali iliyopita ya nchi hiyo ilitoa mikopo ya mamilioni ya...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeeleza wasiwasi wake kuhusu baadhi ya mapendekezo yaliyomo katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2026, kikisema yanaweza kuongeza gharama za...
Inshort RITA mmekula KERO sana kwenye upatikanaji wa huduma kwa ufanisi na haraka zaidi. I wonder Watu wenu wa IT wanafanya nini!!!
Mtandao unasumbuaa wiki Nzima na hamtoi taarifa wala kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.