Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia...
2 Reactions
4 Replies
183 Views
Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa kati ya miaka nane hadi kumi, mkazi wa Mtaa wa Lilungu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, amefariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana...
7 Reactions
56 Replies
729 Views
Shida ya JF yetu ni refa wa kuchagua maamuzi ila anajisahau kuwa siku tukiwatetea kuhusu VPN 😁 . Huyu shaikh mwaipopo mi sitaki kuwa msimuliaji angalia historia yake wanao mfahamu na yeye...
7 Reactions
10 Replies
244 Views
Nakumbuka nikiwa bado mdogo kipindi hicho tunaishi Morogoro huko wilaya ya Kilombero, tulikuwa tunaishi mimi, mimi yangu mzazi na mama yangu mdogo na mama yangu pia alikuwa na wadogo zangu...
5 Reactions
12 Replies
317 Views
Jumla ya wananchi 537 wamepatiwa huduma za kibingwa na kibobezi katika banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Ndugu zangu katika imani kama hauna upako na kibali cha Mungu husithubutu utakufa maji.
5 Reactions
15 Replies
260 Views
Watumishi wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wanaendelea kutoa huduma za sekta ya Ardhi katika banda la wizara hiyo katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea...
0 Reactions
2 Replies
115 Views
Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho. Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara. Hata ukipewa hii...
6 Reactions
17 Replies
471 Views
Shehe ubwabwa Mwaipopo, anajitambuliza kama katibu wa habari wa BAKWATA amengaza ugaidi na serikali na police wapo kimya 1. Anamiliki kikundi cha mbwa mwitu, (uhalilifu) Alisema wazi akiamuru...
8 Reactions
9 Replies
249 Views
Jinsi ya kuongeza AURA yako (Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana). 1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani...
3 Reactions
4 Replies
332 Views
Mkuu baba mwenye Gari. Gari yangu nimeiweka bondi sasa niazime gari yako kwa wiki moja! Nina elf 40. Mwanza town Nyamagana
10 Reactions
74 Replies
978 Views
Binafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation) Nimethibitisha Je, wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya...
2 Reactions
21 Replies
430 Views
TANGAZO KWA WATANZANIA WANAOISHI KATIKA JAMHURI YA AFRIKA KUSINI TAREHE 23 JUNI 2026 Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawafahamisha Watanzania wote...
0 Reactions
2 Replies
155 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha maboresho ya uhuishaji wa kisima cha maji cha Kwala kilichopo kijiji cha Minazi mikinda, kwa lengo la kuwezesha...
2 Reactions
2 Replies
140 Views
Serikali ifanye jambo kwa watumishi wake kwa kuwaongezea mshahara. NB: Mshahara ni addictive kama cocaine 🚨
3 Reactions
9 Replies
276 Views
Katika dini zote dhambi zinazopewa kipaumbele zaidi katika masuala ya maadili ni ngono (zaidi sana ushoga halafu uasherati na uzinzi kiasi), mavazi ya wanawake na ulaji kitimoto kwa wasiokula...
2 Reactions
13 Replies
180 Views
Kama Umri Wako Unasoma Miaka 20 – 40, Uko Kwenye Daraja Hatari Zaidi. Hapa Ndipo Unapochora Ramani Ya Uzeeni Kwako, Au Unapochimba Kaburi La Majuto Yako. Kabla 50 Haijakugonga Ukaanza Kuilaumu...
11 Reactions
19 Replies
381 Views
Kizazi hiki asa hivi hakitumii pombe kabisa labda mtuambie sie baba zenu mnatumia nini nyinyi mibangi au mnapemesa nyie,sio kawaida mtaani watu hawayumbi tena kama zamani na mikao ya pombe imekuwa...
3 Reactions
9 Replies
142 Views
Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia. Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki. Ukizingatia mbegu, upandaji, Mbolea na...
3 Reactions
15 Replies
554 Views
Back
Top Bottom