Who cares?

Who cares?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
262
Mkaguzi na Madhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Professa Mussa Assad amesema ni muhimu kuwepo na ukaguzi na ufuatiliaji wa maisha ya wanasiasa au viongozi wanaoteuliwa kwa nafasi mbalimbali na tathmini iwe inafanyika mara kwa mara sio kwa viongozi tu bali hata ndugu na jamaa zao.

Prof. Assad amesema hayo alipohojiwa na Clouds TV na kueleza kuwa hilo litatoa taswira juu ya uadilifu na kujulikana kwa uhalali wa umiliki wa mali hizo wakati wa utendaji wa viongozi hao.

Ameongeza kuwa yupo kijana mmoja anamfahamu ni Waziri kwa kipindi cha miaka mitano anamiliki magari ya kifahari ikiwemo Landcruiser LC 300 matatu ambayo Moja gharama yake si chini ya milioni 450, Range Rover na maisha ya gharama anayoishi kiongozi huyo jambo ambalo linaleta maswali juu ya namna alivyopata mali hizo kwa miaka mitano.

🗣️Mussa Asaad, CAG Mstaafu.

Unakubaliana na CAG

_________

Tufollow kwenye page yetu Mastory Yetu

#fblifestyle
 
FB_IMG_1779876110729.jpg
 
Huyo waziri kijana ni mwana fa hakuna mwingine
 
Back
Top Bottom