Kumbukumbu"" mbaya!

Kumbukumbu"" mbaya!

OTHMAN BEY

Member
Joined
Jun 20, 2026
Posts
74
Reaction score
123
Katika maisha kuna kumbukumbu nzuru na mbaya ila natataka ushiriki kumbukumbu mbaya au nzuri binafsi

1 Nikiwaga mtoto years 5+ au zaidi nakumbuka tukio la shangazi yangu kunisingizia nimemchungulia akiwa anaoga wakati sio kweli nilikuwa napita tu karibu na choo & ua nilijitahidi kujitetea lkn wapi. Nilipokea kipigo cha maana mpaka mkono wangu wa kulia ukapinda na kuvimba ikabidi nile peke yangu na kushoto

Tukio la pili
Niliwahi kusingiziwa nimeiba elf 50,000 wakati sio mimi, nilijitahidi sana kujitetea lkn mama aliamini ni mimi nimeiiba, nilipigwa sana wakinambia usiposema nitakuua mana hatutaki mtoto mdokozi wa vitu. Walinipiga mpaka fimbo nne tofauti zikaishia mwilini mwangu maana walikuwa wanapokezana kunipiga ikabidi niseme ni mimi japo sikuwa mimi

Share na wewe tukio lolote baya uililosingiziwa unalokumbuka kipindi ukiwa mtoto.
 
Walikuonea sana.Walidhani wewe ni mwizimwizi kama sheikh Mwaipopo alivyokuwa jambazi sugu kule kwao Tabora vijijini?
 
Kijijini kabisa, nilisingiziwa na ndugu wa karibu ati nilikuwa nimedandia loli la kubeba mchanga, nikapewa kipigo kitakatifu, wakati hata gari sikuwahi liona pale kijijini.

Katika maisha kuna kumbukumbu nzuru na mbaya ila natataka ushiriki kumbukumbu mbaya au nzuri binafsi

1 Nikiwaga mtoto years 5+ au zaidi nakumbuka tukio la shangazi yangu kunisingizia nimemchungulia akiwa anaoga wakati sio kweli nilikuwa napita tu karibu na choo & ua nilijitahidi kujitetea lkn wapi. Nilipokea kipigo cha maana mpaka mkono wangu wa kulia ukapinda na kuvimba ikabidi nile peke yangu na kushoto

Tukio la pili
Niliwahi kusingiziwa nimeiba elf 50,000 wakati sio mimi, nilijitahidi sana kujitetea lkn mama aliamini ni mimi nimeiiba, nilipigwa sana wakinambia usiposema nitakuua mana hatutaki mtoto mdokozi wa vitu. Walinipiga mpaka fimbo nne tofauti zikaishia mwilini mwangu maana walikuwa wanapokezana kunipiga ikabidi niseme ni mimi japo sikuwa mimi

Share na wewe tukio lolote baya uililosingiziwa unalokumbuka kipindi ukiwa mtoto.
 
Fun Fact:

Kumbukumbu zinaweza kuwa distorted baada ya miaka, kile unachodhani kilitokea huenda ikawa kuna utafauti kidogo, hivyo kumbukumbu sio za kuamini sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom