Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi...
Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Riyadh Kisuo, ameonya kuwa ongezeko la kodi kwenye sekta ya michezo ya kubahatisha linaweza kuathiri shughuli za biashara na kusababisha kupotea kwa maelfu ya ajira...
Mwanza tuna shida kubwa ya maji ambayo imekuwa ikidumu kwa miaka mingi, lakini haiongelewi kabisa. Kwa mfano, maeneo ya Kirumba, maji hutoka mara moja tu kwa wiki, na mara nyingi hutoka usiku wa...
Kuna mada niliweka hapa kuhusu tabia hii ya mtindo wa ukamataji au kiufupi ni utekaji ambao ukijiambatanisha wasio julikana.
Kwa haya wanayofurahia na mtindo wanaotumia nilisema kuna siku...
Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na...
Ni takribani miezi mitatu sasa nimekuwa nikipita katika Stendi ya Makumbusho na kuona eneo ambalo taka hurundikwa kwa ajili ya kuzolewa kwa pamoja. Kwa mtazamo wangu, hali hiyo si salama.
Taka...
Kwa sasa, jijini Dar es Salaam changamoto ya mitaro kuziba au kutosafishwa kwa wakati imekuwa kero katika maeneo mengi. Hali hii inaibua maswali kuhusu uwajibikaji wa viongozi wenye dhamana ya...
Pichani ni hali ilivyo katika stendi ya mabasi madogo ya Makoroboi, jijini Mwanza. Uchafu huu umekuwa ukitoa harufu kali tangu juzi usiku na sasa umekuwa kero kwa wananchi na watumiaji wa eneo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM– TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka watumishi wa OWM- TAMISEMI kufanya kazi kwa bidii, upendo, ushirikiano...
Habari wakuu!
Naomba kujua changamoto ya kufanya kazi halmashauri ambazo ziko chini ya TAMISEMI na kushauriana namna ya kuukwepa umasikini kwa kupeana michongo ya fursa mbalimbali.
Ahsante.
Dr.Zack.
June 23,2026:03:50AM.
Usiku huu baada ya kutoka kwenye maombi yangu ya usiku wa saa 9 -10 alfajili roho wa Mungu akanipa neno la kusema na watu wake katika siku hii ya leo.
Kitabu cha...
Kuna kipindi :
Kwenye Episode ya 3 ya podcast ya Let's Impact Millions, Brother Eric (maarufu kama UBEPARI PC Co LTD) amefunguka simulizi nzito inayoumiza kichwa kuhusu mazungumzo aliyowahi kuwa...
Tuanze tu uchaguzi wa October 29 2025.
Hapa ndio washenzi wamewekeana kinga na vyeo vikubwa na tunaambiwa tuwazomee ndio wataacha tabia mbaya.
Hatua kama hii iliyotokea uingereza waziri mkuu...
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Engosowashi, Kata ya Moshono jijini Arusha, Richard Meshaki Laizer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake baada ya kusoma barua yake ya kujiuzulu mbele ya wananchi...
Hata waandishi wa Ugiriki ya Kale ( Ancient Greece) wamewahi kuandika kuhusu watu wanaitwa Arcadians. Hawa Arcadians , Aristotle na Plutarch waliwaita " Proseleness" yaani " Those who lived before...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.