Bila kushtuka ila mkianza kufikia kuvunja tuna rudi yale yale ya wapi eneo langu lilipo ishia.
Haya sio makusudi ila ndio washajipanga wao.
kejeli na ziaka za wabunge wao washajua mikakati yao...
Professor Mussa J Assad. CAG Mstaafu amesimulia kilichotokea na hatua alizochukua wakati anaondolewa katika nafasi ya CAG kinyume na katiba ilivyokuwa inaeleza.
Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
Mnaopeta na maji kila siku habari zenu?.
Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila...
Kama wewe ni overthinker basi una akili sana…
Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana…
Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu...
Kuna kitu watu wengi wanakidharau mpaka siku wanapokikosa hasa vitu vya ndani
Utakuta kijana alikuwa na gheto safi kabisa. Kitanda kipo, godoro lipo, sofa ipo, TV ipo, kabati lipo, vyombo vya...
Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi?
Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi.
Kwa miaka mingi, wananchi wa maeneo ya Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, yanayopakana na Wilaya ya Nyamagana wamekuwa wakikabiliwa na ukosefu mkubwa wa huduma ya maji safi na salama, huku mji...
Ndugu zangu JF mnaendeleaje, leo nikiwa nimetulia usiku wa kama huu nikawa nawaza yafuatayo..... Ebu ngoja tushuke nazo hizi. Leteni nondo kama huna cha kujibu lala tu na kesho ni siku.
Kwa...
Kuna maneno hayajatahiriwa.. Haya ndio halisi.. Mengi tunayoongeleshana tumeyatia tohara, tumeyahariri, tumeyaremba na kuyatia nakshi mbalimbali kuleta ladha ama mvuto tuutakao
kulingana na...
Msaada wenu wakuu kwa yeyote aliewahi kuugua vidonda vya tumbe na akapona atuambie alitumia dawa gani mana vinanisumbua balaa""please msaada wenu wakuu pia hata hujawahi kuugua vidonda vya tumbo...
Wananchi kutoka kata za Kisongo, Mateves na Musa wamegomea maelezo ya Mkuu wa Kituo cha Polisi Kisongo kufuatia malalamiko ya kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu katika maeneo yao.
Wananchi hao...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nimemuona Mwaipopo akiwa amekusanya vijana watoto wa watu wasio na hatia akiwaita kundi la mbwa mwitu la kutahiri watanzania bila ganzi...
Kisa kimoja cha kuchekesha lakini cha aibu kubwa kimetokea baada ya familia moja iliyokuwa imejumuika pamoja kutazama michuano ya Kombe la Dunia kushuhudia jambo wasilotegemea kwa babu yao...
Kuna tabia moja huwa siielewi kabisa nikiona mshikaji anakuwa nayo namuona snitch.
Mnakutana kunywa pombe na lengo kuu linakuwa ni kulewa mnakunywa mpaka usiku mkubwa, kila mtu anafanya vituko...
Happy Father’s Day kwa mababa wote.
Leo ni siku ya kuwakumbuka na kuwaheshimu wanaume ambao kwa njia moja au nyingine wamekuwa nguzo kubwa kwenye familia zetu. Wengine wamekuwa wakali, wengine...
April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.