"Uzalendo" Ufundishwe Shuleni kama Somo

"Uzalendo" Ufundishwe Shuleni kama Somo

Black BackUp

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
770
Reaction score
733
Habari,
Uzalendo ni nini?
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda ,kuithamini, kujitolea kwa hali na mali na hata kufa kwa aajili ya nchi yake.
Ukirudi mashule kuna masomo kama uraia na mengineyo lakin ukiangalia mitaala sana inasimulia zaid historia ya nchi na matukio yaliojitokeza sambamba na tawala mbalimbali zilizopita kitu ambacho ni kizuri. Kuna jambo siku hizi mashuleni hakuna kile kipengele cha kuimba na kusifia nchi pamoja yaliyomo badala yake nyimbo hizo utakuta wanaimba sana huko makambini hasa ya JKT zijulikanazo kama (CHENJA).

Niwaombe maafisa elemu kutoa tamko hasa watoto wanapokua mstarini (assembly) waanze kuimba sio tu Mungu ibariki Tanzania balii pia kuna nyimbi kama

1. Tanzania Tanzania Nchi yenye mali nyingi watu wote wa ulaya eheee wana..............
2 Tazama ramani utaona Nchi nzuri , yenye....................................................
3. Naapa naahid mbeye Mungu, Tanzania ...................................
4.

Nyingine ongezea Mwenyewe ambazo unaona zinafaa katika sio tu kuujenga uzalendo lakin pia kumkumbusha mwanafunzi yupo katika nchi gani na yenye mazingira gani. Nyimbo zinasaidia sana katika kufundisha kuliko maneno matupu darasani.
 
Anaefundisha uzalendo ni nani?

Huyo mwalimu muiba chalk?
Huyo mwalimu muiba ream?
Huyo mwalimu anaetomba wanafunzi?

Au atatoka shinani huyo mwalimu?

Nchi hii hakuna mzalendo labda kama mmepanga kupata 20% kwenye haka kamradi kenu uchwara
 
Habari,
Uzalendo ni nini?
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda ,kuithamini, kujitolea kwa hali na mali na hata kufa kwa aajili ya nchi yake.
Ukirudi mashule kuna masomo kama uraia na mengineyo lakin ukiangalia mitaala sana inasimulia zaid historia ya nchi na matukio yaliojitokeza sambamba na tawala mbalimbali zilizopita kitu ambacho ni kizuri. Kuna jambo siku hizi mashuleni hakuna kile kipengele cha kuimba na kusifia nchi pamoja yaliyomo badala yake nyimbo hizo utakuta wanaimba sana huko makambini hasa ya JKT zijulikanazo kama (CHENJA).

Niwaombe maafisa elemu kutoa tamko hasa watoto wanapokua mstarini (assembly) waanze kuimba sio tu Mungu ibariki Tanzania balii pia kuna nyimbi kama

1. Tanzania Tanzania Nchi yenye mali nyingi watu wote wa ulaya eheee wana..............
2 Tazama ramani utaona Nchi nzuri , yenye....................................................
3. Naapa naahid mbeye Mungu, Tanzania ...................................
4.

Nyingine ongezea Mwenyewe ambazo unaona zinafaa katika sio tu kuujenga uzalendo lakin pia kumkumbusha mwanafunzi yupo katika nchi gani na yenye mazingira gani. Nyimbo zinasaidia sana katika kufundisha kuliko maneno matupu darasani.
Mkuu wazo lako ni zuri sana lakini Mkuu umekuwa mbinafsi(hujatuzingatia Sisi wahaini). Kama wananchi kwa wingi wao wakiwa wazalendo je, sisi wahaini tutawapata wapi machawa na vibaraka?
 
Wahaini Mlio Mtaani mnatosha, tudeal na kizazi hiki cha mshuleni kwasasa ili kujenga
 
Back
Top Bottom