Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa. Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni...
1 Reactions
9 Replies
148 Views
Naomba ushauri kuhusu mkopo wa CRDB. Nimekuwa kazini kwa miaka 2, na sasa nafikiria kuchukua mkopo kupitia CRDB. Naomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu: Je, baada ya kufanya kazi kwa miaka 2...
0 Reactions
8 Replies
246 Views
Anonymous
Kuna ugumu wa kupata Visa ya kwenda China kutoka hapa nchini, hali inayosababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wengi. Tunalazimika kuamka saa tisa usiku ili kuwahi foleni, lakini hata hivyo...
0 Reactions
4 Replies
253 Views
Ndiyo. Haya ni maeneo matatu ya Biblia ambayo mara nyingi huchanganywa, lakini yanaelezea matukio tofauti au yanayotafsiriwa tofauti na wanatheolojia. 1. Har-Magedoni (Ufunuo 16:16) Neno...
5 Reactions
1 Replies
115 Views
Juzi nilikuwa naperuzi humu JF. Ghafla nikashikwa na usingizi, nikawa nimeilalia simu. Kumbe katika harakati za kujigeuzageuza nilikuwa nagusa buttons za simu, kumbe maneno yalikuwa yanatokea...
4 Reactions
29 Replies
330 Views
Wizara ya elimu chini ya Professor Mkenda imeendelea na upigaji wa pesa za elimu. Moja, wanatengeneza semina na mtaala mpya ambazo hazina kiwango cha kutosha iki kupata pesa za kuendeshea na...
0 Reactions
3 Replies
105 Views
Habarini watanzania wote mnaopenda burudani ya kusikiliza au kutazama presenters wenye vipaji na uwezo kupitia media mbalimbali. Nimekuwa nikimsikiliza na kumtazama mwanadada mmoja yupo kyela fm...
7 Reactions
29 Replies
400 Views
Kakataa kuwaachia wana wa Israel pamoja na Musa. Musa kakataa kata katu kumsujudia.
7 Reactions
13 Replies
173 Views
Wakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
4 Reactions
27 Replies
689 Views
Heir ya jumapili ndugu zangu wa Jf mko poa nyie sometimes mambo yanaenda kombo sana wadau, naombeni mnisaidie kifedha japo ata ya siku hii wakuu napitia magumu yaliyo nje ya uwezo wangu kwa...
3 Reactions
13 Replies
230 Views
Wanabodi Salaam. Wakati tukifunga mwaka 2016 na kujiandaa kuupokea mwaka 2017, sisi wana JF individually au collectively inatubidi tujitathimini kama hizi kelele tunazopiga humu kupigia kelele...
18 Reactions
66 Replies
9K Views
Anonymous
Mimi ni mlemavu wa kusikia na mkazi wa Dar es Salaam. Kupitia uzoefu wangu binafsi katika kufuatilia haki zangu na kupata huduma katika taasisi mbalimbali za serikali, nimekumbana na changamoto...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Baada ya Mdau kuandika kuwa kuna changamoto ya umeme mitaa ya Ilala hali ambayo imesababisha ukatike mara kwa mara muda mrefu, TANESCO imetoa ufafanuzi. Hoja ya awali ya Mdau ipo hapa ~TANESCO...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
"Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye...
3 Reactions
6 Replies
140 Views
Humu JF wasomi ni wengi kabla haujaaandika kitu hakikisha kwenye halmashauri yako ya kichwa unalipeleka kwanza file idara ya uhakiki wapime kama ni pumba au ni Fact ndo ubonyeze button ya post...
12 Reactions
65 Replies
679 Views
Mara baada ya mtu kunywa pombe uanza kupata uwezo wa ajabu ambao apo mwanzo akuwahi kuwa nao sijajua mkemia wa kwanza kabisa ambae alianza kutengeneza pombe apa ulimwenguni aliweka sili gani...
3 Reactions
25 Replies
339 Views
Jamii yetu imetufundisha kuona thamani ya mwanaume kupitia mfukoni mwake. Ndio maana mwanaume asiye na pesa mara nyingi anaonekana hana mvuto, kwa sababu pesa imetafsiriwa kama usalama,uwezo na...
35 Reactions
350 Replies
3K Views
Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee. Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe...
25 Reactions
120 Replies
2K Views
Kichwa kinajieleza wakuu hivi ukipewa nafasi ya kutoa maoni yako kuhusu Marekebisho ya jf ili iwe ya kisasa zaidi utataka sehemu gani iongezwe na sehemu gani Iondolewe..? :BinaFsi: Nashauri...
3 Reactions
73 Replies
639 Views
Back
Top Bottom