Ni nini hutokea mara baada ya mtu kunywa pombe

Ni nini hutokea mara baada ya mtu kunywa pombe

camp konzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
270
Reaction score
515
Mara baada ya mtu kunywa pombe uanza kupata uwezo wa ajabu ambao apo mwanzo akuwahi kuwa nao sijajua mkemia wa kwanza kabisa ambae alianza kutengeneza pombe apa ulimwenguni aliweka sili gani kwenye pombe.

Uwezo huo wa ajabu uwa unakuja kwa kasi sana na kitu kinachoitajika ni nguvu ya muhusika kuweza kuhusibiti.

Kama muhusika ataweza kuhuzibiti uwo uwezo basi ataweza kwenda sawa na pombe ila wengi uwa wanashidwa kuhumudu huu uwezo.

Mhusika akiweza kuhumudu huwo uwezo uwa anabarikiwa na kupata nguvu ya kutenda jambo lolote lile ata liwe gumu kiasi gani na ndio mana hata madomo zege ujikuta wakipata uwezo wa kutongoza vizuri kabisa na kwa ufasaha mara baada ya kupiga urabu kama wewe ni domo zege ijaribu hii.

Vile vile hata kama muhusika alipitia unyanyasaji wa aina yeyote ile mara baada ya kupata urabu na kuweza kuhukotror basi upata nguvu kubwa sana ya kuweza kujitetea kwenye huo unyanyasaji.

KUSEMA UKWELI FAIDA YA KUPIGA URABU NA KUWEZA KUHUKONTROR NI NYINGI SANA SEMA NI VILE TU NIMECHOKA KUANDIKA NAOMBENI WADAU MUNISAIDIE FAIDA NYINGINE
 
Mara baada ya mtu kunywa pombe uanza kupata uwezo wa ajabu ambao apo mwanzo akuwahi kuwa nao sijajua mkemia wa kwanza kabisa ambae alianza kutengeneza pombe apa ulimwenguni aliweka sili gani kwenye pombe. uwezo huo wa ajabu uwa unakuja kwa kasi sana na kitu kinachoitajika ni nguvu ya muhusika kuweza kuhusibiti. kama muhusika ataweza kuhuzibiti uwo uwezo basi ataweza kwenda sawa na pombe ila wengi uwa wanashidwa kuhumudu huu uwezo. muhusika akiweza kuhumudu huwo uwezo uwa anabarikiwa na kupata nguvu ya kutenda jambo lolote lile ata liwe gumu kiasi gani na ndio mana ata madomo zege ujikuta wakipata uwezo wa kutongoza vizuri kabisa na kwa ufasaha mara baada ya kupiga urabu kama wewe ni domo zege ijaribu hii. vile vile ata kama muhusika alipitia unyanyasaji wa aina yeyote ile mara baada ya kupata urabu na kuweza kuhukotror basi upata nguvu kubwa sana ya kuweza kujitetea kwenye huo unyanyasaji. KUSEMA UKWERI FAIDA YA KUPIGA URABU NA KUWEZA KUHUKONTROR NI NYINGI SANA SEMA NI VILE TU NIMECHOKA KUANDIKA NAOMBENI WADAU MUNISAIDIE FAIDA NYINGINE

Hebu kalewe uje umalizie kuandika.
Si umesema Pombe inakupa nguvu ya ajabu? 😊😊😊😊
 
aliekua rafiki angu wa karibu sana ambae tulikua tunashilikiana mambo mengi sana ya muhimu mara baada ya shuguri zetu ilikua ni desturi yetu lazima tujipongeze na pombe kabla ya kurudi nyumbani baada ya kuwa tumelewa njiani tulikua tunaendesha usafiri kibabe sana na ikitokea tumekutana na tukio la ajari njiani jamaa yangu alikua anacheka sana na kuwaona kuwa waliopata ajari ni wajinga na wazembe sana lakini leo hii jamaa yangu nae amekufa kwa ajari tena akiwa amelewa japo naendelea kupiga mtungi lakini nimejifunza mara baada ya kupiga mtungi nisiwe najiamini kupita kiasi
 
aliekua rafiki angu wa karibu sana ambae tulikua tunashilikiana mambo mengi sana ya muhimu mara baada ya shuguri zetu ilikua ni desturi yetu lazima tujipongeze na pombe kabla ya kurudi nyumbani baada ya kuwa tumelewa njiani tulikua tunaendesha usafiri kibabe sana na ikitokea tumekutana na tukio la ajari njiani jamaa yangu alikua anacheka sana na kuwaona kuwa waliopata ajari ni wajinga na wazembe sana lakini leo hii jamaa yangu nae amekufa kwa ajari tena akiwa amelewa japo naendelea kupiga mtungi lakini nimejifunza mara baada ya kupiga mtungi nisiwe najiamini kupita kiasi
Mwaka 2015 mwanzon nilipata ajali nikiwa nimelewa alaf naendesba gar spidi 80.
Tuko double road. Saa 6 usiku. Naangalia kitu kwa sim . Kumb nimehama lane. Nikagonga gar ya pembeni. Yaan kidogo tu ubavuni tair ya nyuma . ila kwa kuwa na lenyewe lilikuwa kwenye spidi. . Ile gari ilibiringita mara 3. Ila yangu haikupinduka.

dereva kateguka shingo na kavunjika mkono.

Kesi kubwa mahakaman.
Kilichonisaidia nilikuwa na Valid licence na Comprehensive insuarance.
Insuarance ililipa magar yote mawili.

Nowdays hata nileweje.
spidi ikizidi sana basi ni 30 😊😊😊
 
nb pumzika kwa amani mtu wangu nimegundua kuwa ukuweza kuhuimili uwezo na pia namuonya yeyote yule ambae ataona dalili mbaya basi ni vema akakaa mbali kabisa na aya maswala
 
Back
Top Bottom