Eti wazazi, ni kweli kitovu kikidondokea maumbile ya mtoto huweza kusababisha apate changamoto za uzazi baadaye, au ni imani tu za wahenga? 🤔
Ufuatiliaji wa JamiiCheck kuhusiana na madai haya...
Tweeps wa Bongo wamekuwa wakijinadi kuwa wana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuibua mijadala inayogusa misingi nyeti ya Tanzania. Lakini kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, nadhani kitu...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi.
Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na...
Privacy ni haki ya mtumiaji kulinda taarifa zake binafsi, utambulisho wake na mawasiliano yake yasifikiwe au kutolewa bila sababu au utaratibu unaotambuliwa na sheria.
Baada ya JamiiForums kurejea...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, Julai 23, 2026 akiwa ziarani amewataka viongozi wa halmashauri na vijiji mkoani Kilimanjaro kujiongeza na kutafuta suluhu za haraka za kisekta badala ya...
Hata leo usiku, ikiwa chama tawala kitatoka na kuingia chama kingine ili kupata viongozi wapya, taifa hili litaendelea kuwa maskini kama nguvu ya kuzindua raia haitatumika kwa dhati.
Ukweli uliopo...
Kumekuwa na bei kubwa/ghali sana ya vyakula kwa wasafiri nchini. Sehemu ambazo magari yanapeleka abiria kula yamekuwa yakitoza gharama sana za vyakula, Wahusika walifuatilie hili, watu wanaumia...
Wakuu sikwamba napenda kuumwa ila hali hii pindi fulani hunipa mashaka labda huenda naumwa ndani kwa ndani na sijijui.maana nina miaka zaidi ya 10 sijaumwa na ikiwa nikaumwa labda kujisikia vibaya...
Kumekuwa na mtazamo katika jamii ya kwamba utu uzima ukifika lazima utoke kwa wazee wako na kuanza maisha yako
Sasa wakuu kutokana na mtazamo huo mimi nina machache ya kuyafahamu kutoka kwenu...
Hili tatizo limeota mizizi katika familia nimekuwa nikishuhudia ndugu zangu wakike hawaolewi na wakiolewa ndoa hazidumu. Nafikiri labda mizimu ya ukoo imekasirika au vipi lakini sio jambo la...
Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro.
Nina madai ya madeni tokea 2017 nili-suply vipuri vya magari ila...
Habari zenu wakuu..
Kuna tukio nilikutana nalo nchini Malawi miaka iliyopita ambalo mpaka leo linanifanya nijiulize maswali mengi.
Tulikuwa tumebeba kontena lenye mabomba tukielekea Malawi kwa...
Nilikutana na makala moja mtandaoni iliyokuwa inazungumzia utawala wa Sadam hussein , makala hiyo imenikumbusha mambo mengi ya Sadam hussein aliyekuwa kiongozi wa Iraq
Jamaa kitu kikubwa...
Wana-JF salam,
Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya...
Man to Man , sio kila wknd lazma utoke na Masela sometimes tuliza mbupu kwa mke wako mpange mipango ya maisha na ku have fun kuna watu hawana muda kabisa na familia zao au hata kukaa na watoto
Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu.
Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana .
Mbona sheria kama...
Nipo siriaz na nitajaza Dodoma mara kumi zaidi ya leo. Wadau na ambao mpo siriaz mnifuate PM
NB: Hii idea kama IP ipo copyrited.
Nawasilisha nikiwa na moet 3 pembeni hapa ya mfanyakazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.