JamiiForums ukiropoka ujinga kwenye uzi utajuta, No Delete Section

JamiiForums ukiropoka ujinga kwenye uzi utajuta, No Delete Section

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,635
Reaction score
6,551
Humu JF wasomi ni wengi kabla haujaaandika kitu hakikisha kwenye halmashauri yako ya kichwa unalipeleka kwanza file idara ya uhakiki wapime kama ni pumba au ni Fact ndo ubonyeze button ya post thread. Ukiropoka kuna watu wana mashambulizi halafu mbaya zaidi hakuna button ya delete
 
Humu JF wasomi ni wengi kabla haujaaandika kitu hakikisha kwenye halmashauri yako ya kichwa unalipeleka kwanza file idara ya uhakiki wapime kama ni pumba au ni Fact ndo ubonyeze button ya post thread . Ukiropoka kuna watu wana mashambulizi halafu mbaya zaidi hakuna button ya delete
JF ni jukwaa la great thinkers.

Haturopokagi.
Jifunze matumizi sahihi ya jukwaa kwa kushiriki mijadala na kupangilia hoja
 
Humu JF wasomi ni wengi kabla haujaaandika kitu hakikisha kwenye halmashauri yako ya kichwa unalipeleka kwanza file idara ya uhakiki wapime kama ni pumba au ni Fact ndo ubonyeze button ya post thread . Ukiropoka kuna watu wana mashambulizi halafu mbaya zaidi hakuna button ya delete
Ngoja nijaribu kuandika japo kautumbo halafu nione kama kweli sitaweza kufuta...
 
Back
Top Bottom