DPP kuwa serious japo kidogo
Huyu gaidi Mwaipopo anayemiliki kikundi cha msituni kama mbwa mwitu mnamchekea na kumkumbatia
Lectures, vijana wa chuo na viongozi wa Chadema ndo magaidi
Karibu miezi miwili sasa nimekumbana na kazia mbovu ya huduma kwa wateja kutoka kampuni ya ndege ya Precision Air.
Tofauti na sera yao ya utaratibu wa kurejesha pesa kwa safari iliyohairishwa na...
Mfano mazingira yangu kwa umri wangu ili ninunue kabajaj kapya, nijenge nyumba na watoto wapate ilimu bora na mahitaji ya uhakika itabidi niwe mwizi hapa ofisini au niwe fisadi nje na hapo kweli...
Sijui jina. Inaimbwa hivi.
Inapofika mwisho wa mwezi kasimu huonekani...
Ni nyimbo inayomzungumzia kasimu Kila akipata mshahara. Akifika mwisho wa mwezi anapotea. Hasa has alivyopata kazi.
Ni...
Mfano kuna kipindi rafiki yangu alikuwa ananiambia wachawi wanakuja kwake usiku kuna mapaka yanalia, kumbe yeye hakuwa anajua paka wakiwa kipindi cha joto ndio tabia yao
Jirani alikuwa...
Mwangaluka wanaJF
Ni siku nyingine tena, team ya Yesu Anajibu tunakuletea mazungumzo yaliyofanyika baina ya Ticha Mashamba na Yesu Kristo. Ticha Mashamba alihitaji kujua kwa nini katika kazi zote...
Naam nimekaa nikajiuliza sana Ulimwengu kuna mahali tulikosea sana au kuna nini hadi Malaika hawaji tena kama zamani.
Mimi kwa Dini ni Mkristo na Mara ya mwisho naamini Malaika kushuka Duniani ni...
Sina hakika kama issue ya Mzee Nguza Viking na wanae iliwahi kukatwa hapa, by then ilipokuwa hot nilikua sija join JF.
Kwanza kabisa lazima niseme kwamba sifagilii kabisa vitendo vichafu vya aina...
Husika kichwa cha habari hajuu nataka kujua je inaweza kupata namba ya simu ya Mchangiaji yoyote humu bila yeye kukupa?
Kwasababu humu kuna watu aina mbalimbali wanafatilia Coment za kuisema...
Habari ya leo ! Matumaini Yangu mko vizuri.
Kuna video mewawekea ya hawa vijana ninawatafuta sana na lengo ni kuwapa semina ya matumizi mazuri ya mtandao na madhara ya matumizi mabaya ya mitandao...
Napata shida shida sana nkiwa kwenye biashara natafuta pesa.
Yule yule aliekupangisha anakuwa kero kwako ni omna omba kwa wiki hakosi kukujoa mara tatu hata umkazie vipi .
Aise naishiwa power...
Kuna bro mmoja hivi ananiomba ushauri kwa mdogo wake alierudi kijijini baada ya kukosa ajira huko mjini. Mdogo wake amesomea mambo ya madini ana shahada na ni mtu mzima yuko kwenye miaka 40.
Bro...
kuna mada hapa naona JF wana kwepa history ya huyu mama mpaka history yake.
JF upenda kulifanya jambo kuwa kama chapati na supu maana mengi tumeona na mlipata matatizo na wengine walipata pesa...
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza.
Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa...
DJ. DON NALIMISON: I WILL NOT MARRY ANY OBAMA'S DAUGHTERS BECAUSE THE TIME I WAS PLANNING IN 2016 BECOME TOO LATE TO A TIME BEING.
In a year 2016 God showed me in vision to get marry with Sasha...
Naomba kuwasilisha swali hili kutoka kwenye Manispaa ya kichwa changu.
Ili uweze kupaa lazima uwe na mbawa (mabawa) kama ndege mfano halisi ni malaika Wana mabawa.
Hata hii ndege ya abiria Ina...
NYUMBA hiyo ilijengwa mwaka 2012/2013 kwa ajili yangu wilayani Lushoto mkoani Tanga tena bila taarifa na bila idhini yangu. DJ. DON NALIMISON nilishangaa Sana kujengewa NYUMBA ya kishamba shamba...
Leo una nguvu, kesho unaweza kuwa dhaifu. Leo una afya njema, kesho unaweza kuhitaji msaada wa wengine. Leo una mali na madaraka, kesho unaweza kuondoka duniani bila kubeba hata senti moja.
Kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.