Nimetoa 7,000,000 sio kuwa naipenda Chadema sana Hapana ni kwa sababu naunga sera na misimamo ya chama hicho hata CCM wakinifurahisha naweza kuchanga anytime!
Tuchangie zaidi
Huyu jamaa ni ripota mzuri sana wa matukio ya barabarani hasa kwa jiji la Dar na amesaidia sana ufumbuzi wa kero za ubovu wa barabara kwenye baadhi ya maeneo ya jiji la Dar na nje ya jiji hili...
Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza.
Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10.
Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa...
Unampeleka mwanao shule ya binafsi kuanzia chekechea unalipa zaidi ya milioni hadi darasa la saba ukijumlisha na matumizi yote umetumia zaidi ya milioni kumi.
Unampeleka sekondari tena unalipa...
Jina langu naitwa Hidden Diamond.
Kwa mama, mimi ni mtoto wa tatu kuzaliwa (na kaka yangu mkubwa ambaye mama alimpata akiwa bado msichana mdogo), ila kwa baba ni mtoto wa pili baada ya kaka yangu...
Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao...
Mimi uwezi kunidanganya kino kuhusu ujinga wao.
Mfano wasanii na maisha yao na tabia mishangazi ni kino.
Dotto magari njoo uchukue dawa za ukimwi ili usije kuonesha kichaa chako steji ya ukimwi...
Hakuna kitu nachukia kama kuingia Dar kwa ndege mchana na kushuhudia kile kinachoonekana na uchafu na uholela wa nyumba za Dar es Salaam. Mabati yamejaa kutu na nyumba zimejengwa kiholela bila...
JIJI linaitwa Dar es Salaam. Rapa wa Kimasai, marehemu Abel loshilaa Motika ‘Mr Ebo’ anaita Saridalama. Wenye mikogo wanatamka Das’lam. Watu na vifupisho, kuokoa nguvu na muda wanaita Dar.
Jiji...
Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika unahusisha maeneo mengi, ikiwemo uchumi na biashara, afya, kilimo, sayansi na teknolojia. China imeshiriki katika ujenzi wa miradi mikubwa ya...
Uhusiano na ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa zaidi ya miaka 70, tangu wakati China ilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi hizo za Afrika. Katika kipindi hicho, China...
Julai 16 mwaka 2026, ni siku adhimu ambayo imeingia kwenye vitabu vya historia, baada ya China kuandaa hafla ya kusaini mkataba wa kuanzishwa kwa Shirika la Ushirikiano wa Akili Bandia Duniani...
Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki amesema kuanzia jana kuna ujumbe mfupi wa video uliozunguka katika mitandao ya kijamii uliorekodiwa na Raia wa Uingereza mwenye asili ya...
Huyu Mange ni zaidi ya CIA anajua kucheza na akili za wadanganyika.
Katika kipindi ambacho serikali, wapinzani na wananchi wanadai katiba Mange Kimambi awa kinyume na makundi yote akidai matusi...
Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya...
Dogo anasema alipokuwa chuoni alikuwa na uhakika kwamba akifikisha miaka 25 angekuwa na kazi nzuri, nyumba au angalau ameanza kujenga, usafiri wake, akiba benki, familia na uwezo wa kuwasaidia...
Yani ile ajali ya barabarani ya pikipiki ilinirusha juu baada ya kufunga breki ya pikipiki ghafla ili kukwepa kugonga gari za mbele na ya pembeni baada ya gari ya mbele yangu kufunga breki gafla...
https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA
DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.