KIJANA WA KIUME KUNYENYEKEA AJIRA NI UCHAWA.

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
811
Reaction score
877
"Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
 
Kwa kweli huu ujinga sitaurudia tena!
 
"Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
Ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom