Kichwa kinajieleza
wakuu hivi ukipewa nafasi ya kutoa maoni yako kuhusu Marekebisho ya jf ili iwe ya kisasa zaidi utataka sehemu gani iongezwe na sehemu gani Iondolewe..?
:BinaFsi:
Nashauri...
Hivi ushawahi kununua ile router ya "Unlimited" ya nyumbani au ofisini ukajua sasa umeyapatia maisha? Ukajua utastream movie, utadownload mafaili makubwa, na mambo yatanyooka bila wasiwasi? Alafu...
Imefikia mpaka wanatumia domain ya serikali kujiunga JF.Na wengine wapo ofisi ya raisi.
Kuna siku kuna mmoja hataropoka kuwa kuna mtu anatumia neno " kuna watu wanajibu mavi" basi ujuwe ni mtu...
Hizi ni taratibu nne muhimu kabla ya kuhamia katika nyumba mpya, iwe ya kupanga au ya kujenga mwenyewe!
Kufanya Dua au Sala
Kabla ya kuingia rasmi, ni muhimu kumuomba Mungu akubariki nyumba hiyo...
1. Emma ndo turufu ya mwisho iliyobaki CCM kusawazisha mambo na ikiwezekana awapumbaze.
2 JK anamtumia Emma kimkakati
3. Emma anamtumia nguvu ya Utanganyika,
JK anamleta Emma anajua majority...
Mi sina ubaya nao ila katika watu wana certificate za kila steji ni raisi ambaye kafeli kila darasa anaweza kuwa na kitabu cha elimu ambazo hata majaribio hana.
Sasa kuna waziri mkuu feki yani...
Aisee,kufulia kusikie kwa jirani tu.
Kuna kipindi nimefukuzwa kazi kwa mchina,kurudi mtaani kaakiba nilikokuwa nako kakaisha,nssf nao kwenda kudai pesa zangu mizunguko kibao..nina familia...
Ndugu wanajamii,
Leo tunazungumzia suala linalowahusu moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Hoja hii ni muhimu kwa sababu inahusu haki...
Tujitafakari,
Hivi kuna haki na uhuru gani mnayotaka Waafrika iwapo watoto wenu mnawaingiza kwenye dini na madhehebu ya kuja kwa kuwabatiza majina na kuwapa majina ya kigeni badala ya kuwalea...
Miaka michache iliyopita kulikuwa na dada mmoja ambaye nilikuwa namfahamu kwa mbali. Alikuwa mfanyabiashara.
Kwenye mitandao ya kijamii alikuwa anaonekana kuishi maisha ambayo wengi walikuwa...
Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa.
Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao.
Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali...
Ni reforms zipi au mambo ungependa katika mpya izingatie?
✅️ Mamlaka ya Riasi yapunguzwe na Uhuru wa mihimili yote
✅️ Zuio la mwenyekiti wa chama tawala kua Raisi wa Nchi
✅️ Ardhi ya Tanzania iwe...
ASKOFU MKUU GERVAS NYAISONGA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA AMECEA
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la...
Chombo cha anga cha Voyager 1 ni moja ya mafanikio makubwa zaidi ya binadamu katika historia ya sayansi. Hiki ndicho chombo kilicho mbali zaidi na Dunia kuliko chochote ambacho binadamu amewahi...
Kuna watu hawawezi kuamini, lakini huu ndio ukweli
Kuna watu karibu kila siku ya Mungu jioni lazima tupige kamnyweso binafsi me ni ka wine kangu kana 19% V/V. Sababu pekee inayoweza kuwafanya...
Kumekuwa na hii tabia ya wanawake wakiulizwa swala la kudumu kwenye ndoa wanasema siri ni kuwa wavumilivu. Hili sijalisikia sana kwa jinsia ya kiume. inamaanisha huko kwenye ndoa wanawake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.