NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI
1)USIPENDE KUFAGIA USIKU
🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani
2)KUSHIKWA KICHWA
💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa...
NILIMUAMBIA; ACHAGUE KUMRUDIA MKE WAKE AU TUMFUNGULIE KESI YA UBAKAJI. UKATILI KAMA HUU HAUKUBALIKI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
WIki hii nilipokea simu ya binti mmoja mwenye miaka 23...
Chama Cha Mapinduzi kimeng'oa na kuteua viongozi wengine.
■Ni maamuzi mazito kikao cha NEC Zanzibar
■Aggrey Mwanri achukua nafasi ya Mongella
■RC Chacha kushika nafasi ya Issa Haji Ussi...
Nilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake.
Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya...
Kilichofanywa kwa Polepole sio kwa makusudi ni kwamba yote yaliyofanyika kwa Hayati Magufuli na uchafu wa CCM alikuwa anafahamu ndio maana wakamzimisha ili siri zisivuje.
Kwa hali inayoendelea...
Nilijifunza nini baada ya karibu kuingia kwenye tatizo kubwa?
Nataka kushirikisha jambo lililonitokea, si kwa ajili ya kulaumu mtu yeyote, bali labda linaweza kumsaidia mtu mwingine ambaye...
Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Kuna malalamiko kuwa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, Katavi, wameanza kuwatoza fedha akina mama wanaojifungua watoto njiti kwa madai ya gharama za...
Simu: Mwaka jana, iPhone 16 ndiyo ilikuwa "ndoto" ya kila kijana. Leo, iPhone 17 imetoka na ile ya zamani inaonekana kama takataka.
Teknolojia: TV ya inchi 50 uliyonunua juzi, leo inaonekana ndogo...
Ripoti mpya ya UN Women yenye kichwa "Chukua Hatua Sasa Kukomesha Ukatili Dhidi ya Wanawake" imebaini kuwa asilimia 70 ya wanawake walioshiriki utafiti wamewahi kukumbana na ukatili wa mtandaoni...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika...
Nimezaliwa mtoto wa kwanza kwa mke wa tatu wa marehemu baba,
Tangu nakuwa shule ya msingi mpaka namaliza sikuwahi kumjua ndugu yoyote upande wa baba, ila nilikuwa nafahamu kubwa baba Ameshafariki...
Ninafikiria wengi wetu hatujafundishwa jinsi ya kufikiri kwa kila tatizo au changamoto inayotupata.
Na kikawaida tupo hivi.
Kufikiria "tatizo lenyewe" na kisha "ni kwa namna gani ni ngumu...
Kuna jambo limekuwa likinitokea kwa muda sasa, na kila ninapolifikiria najiuliza kama ni jambo la kawaida au kuna watu wengine pia wamelipitia.
Ninaishi kwenye apartment ya kupanga. Jirani yangu...
INTRODUCTION:-
Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!!
Hebu twende hoja..
Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!!
Kabla ya yote...
Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia.
raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd...
Leo wakati tunapiga story na rafiki yangu ambaye urafiki wetu sasa unakaribia miaka 20 tuliongea mambo mengi tu mara baada ya kuhachana miaka 15 iliyopita
Sio kwamba hatuwasiliana naye kabsa...
Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa.
Huduma zetu zinapatikana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.