Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Umepata ka laki mbili, au kaelfu hamsin unakaweka akiba utazani ndio mwisho wa utafutaji na haupati tena. Hizo ni dalili za umaskini na wewe ni mvivu wa utafutaji hela. Ukipata hela irudishe...
7 Reactions
7 Replies
238 Views
Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa...
6 Reactions
16 Replies
301 Views
Hii mifumo ya gesi ina future yoyote? Kwa nini tunatumia nguvu nyingi kuhamia magari ya gesi wakati dunia haionekani kuelekea huko?
3 Reactions
23 Replies
377 Views
Nina jamaa angu Msukuma wa Shinyanga, jamaa ni fundi wa kuezeka majumba ni kweli ni fundi mkali tu kwenye mambo ya kupauwa majumba Ishu ni hivi, jamaa hawezi kutulia kabsa na mkewe Yuko radhi...
9 Reactions
52 Replies
915 Views
Machawa wa Serikali ya CCM kumbe ni mijitu mibaya kiasi hiki! Msama ukimuona kama mtu mwema ila ni jizi la hatari mtapeli viwanja vya watu! ============== Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Kenya nzima IPO gizani, wenda Tanzania ikawa gizani siku 3
7 Reactions
98 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amelaani vikali kitendo cha kushambuliwa na kuuawa kwa mwalimu aliyejulikana kwa jina la Mwalimu Dimoso, ambaye alipoteza maisha akiwa...
0 Reactions
2 Replies
232 Views
WANAUME TUACHE UKATILI NA KIBURI KWA KUSEMA MTOTO AKIKUA ATANITAFUTA. WATIBELI TUNASEMA HATUTAKUTAFUTA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi kama Mtibeli, mwanaume, Baba, na Kaka. Nafahamu...
3 Reactions
34 Replies
362 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi na Tiba Utalii (Medical Tourism), kufuatia kuwasili kwa jopo la madaktari bingwa...
1 Reactions
0 Replies
81 Views
Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana...
5 Reactions
84 Replies
620 Views
Wakuu ukipasua nazi mle ndani unakuta mna maji nani kayaweka?
5 Reactions
34 Replies
492 Views
Kitengo cha vodacare whatsapp namba 0754100100 hakitoi msaada wa kuchat na mtoa huduma. Ukichat nayo inakuacha kwenye taarifa ya "Tafadhali subiri wakati nikikuunganisha kwa mtoa huduma, kwa...
1 Reactions
0 Replies
41 Views
TAKUKURU mmepigwa chenga na Alex Msama mpaka Leo na lile kengeza lake kweli? ========== Naibu Mkuu wa TAKUKURU (M) Kinondoni Elizabeth Mokiwa kupitia kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam ...
5 Reactions
16 Replies
323 Views
Inaonekana leo Julai 30 mfumo wa SelcomPesa una muskeli. Kuna wengine mnapata changamoto hii? Ni pale inapokuwa ushafika counter unatakiwa kulipia na mfumo ukakuumbua. 🤭
0 Reactions
2 Replies
68 Views
Watu wa ukumbi huu toka juzi naona tunapata gawio la YAS wanaita HALAL, hizi ni hela ambazo binafsi sijui zinatoka wapi wala kazi ipi nilifanya mpaka nikapokea malipo haya, kwa lugha rahisi hii ni...
1 Reactions
1 Replies
81 Views
Unakuta unamdai mtu pesa zako unamfuata anakwambia alifiwa au anaumwa au anauguza na ukimcheki huyo mtu ni mtumishi au mfanyabiashara sasa hapo inakuaje au ndio njia yenye hoja kunidhulumu?
3 Reactions
4 Replies
116 Views
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Tumaini Nagu, amezielekeza Timu za Usimamizi wa Huduma za Afya za Mikoa na Halmashauri kuimarisha...
1 Reactions
2 Replies
98 Views
Serikali imeweka mkazo katika kuhakikisha huduma za VVU/UKIMWI, Kifua Kikuu (TB) na Malaria zinaendelea kutolewa kwa ufanisi, bila kuathiriwa na mabadiliko ya ufadhili wa nje, huku ikiendelea...
1 Reactions
1 Replies
93 Views
Sisi watumiaji wa hii barabara ya kutoka Dar, Kibiti, Lindi hadi Mtwara tunaomba serikali hii kiziwi ufunge hii barabara sioni sababu ya kuendelea kutumika huku wananchi wanateseka na barabara...
10 Reactions
36 Replies
508 Views
Back
Top Bottom