Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu weusi🚮 Soma pia Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja. Wamachinga wa kichina...
15 Reactions
78 Replies
1K Views
Utafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana! Sijui ni Mbinyo wa Mabeberu au Makusanyo ya...
4 Reactions
16 Replies
999 Views
Mtangazaji Naomba niirudie hii habari... ambayo imeandikwa kwenye gazeti Mwananchi: ATHARI KUTUMIA SIMU KUTULIZA MTOTO ANAYELIA. Sasa, miaka ya hivi karibuni, simu za mkononi zimekuwa ni sehemu...
1 Reactions
2 Replies
195 Views
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Anonymous (a327)
Wasafiri wanaotumia huduma ya Mwendokasi kutoka Mbezi kwenda mjini wameeleza kusikitishwa na kiwango cha nauli kinachotozwa, ambacho ni Shilingi 2,000 kwa safari moja. Wananchi wanasema hali hiyo...
2 Reactions
19 Replies
299 Views
Huu ni ujumbe wangu kwako, naendelea kusambaza vipeperushi vya amani kuomba Humphrey Polepole arudishwe haraka sana kwaajili ya kutusaidia kujenga hoja za maridhiano. Nimeona CHADEMA wanaendelea...
1 Reactions
1 Replies
103 Views
Kiukweli kati ya mambo yanayonikera na nayoyaona ni wizi wa wazi au tozo ambazo ni kero ni huu unaoitwa Ushuru wa stendi. Logic ya hii tozo ni nini ikiwa abiria anaenda kusafiri na Haingizi Pesa...
6 Reactions
51 Replies
735 Views
Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana. ·...
1 Reactions
19 Replies
442 Views
Mbona misafara ya marais ya nchi zilizoendelea sio kama misafara ya marais ya nchi za afrika unakuta kwenye msafara wa rais kuna gari zaid ya 20. Ni nini shida au nchi za afrika zinahela sana
1 Reactions
1 Replies
92 Views
Kuwa headline kwenye international Media sizo kicheko, inategemea unatrend kwenye engo gani. Hapa tunaenda kukosa Visa kwa nchi zitakazoamua kutupiga ban. Hapo ndiyo chanzo cha watalii kupiga...
3 Reactions
6 Replies
204 Views
Mzuka sana, sana sana sana sana yani sana yaaaaaaaaani. Hivi ni nani alianzisha hili wazo, bonge Moja la idea, Jamani kipi unalikumbuka kuhusu Dodoma hususani kwenye marathon kama hii, zamani...
0 Reactions
7 Replies
154 Views
Habarini wanajamvi, Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga...
12 Reactions
178 Replies
9K Views
Kutangazwa kwa gawio la Vodacom litakuwa na effect chanya kwenye bei ya hisa (bei kupanda) kwa kipindi cha hisa kuuzwa pamoja na gawio 27 Julai - 17 Agosti na itashuka kipindi cha hisa kuuzwa bila...
2 Reactions
12 Replies
239 Views
Huyu dada anafanya biashara ya matunda usiku wa manane bar akiwa na mtoto mdogo sana mgongoni Kwa kukadiria umri wa huyu mtoto ni miezi 2 - 5 Hii ni hatari kwa afya ya mtoto kwa sababu eneo...
1 Reactions
20 Replies
349 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Jumatano tarehe 29/07/2026 imewaachia huru wanafunzi 18 wa Vyuo Vikuu mbalimbali Nchini wakiongozwa na Frank Benjamin Kayamba waliokuwa...
0 Reactions
6 Replies
278 Views
NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI 1)USIPENDE KUFAGIA USIKU 🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani 2)KUSHIKWA KICHWA 💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa...
1 Reactions
7 Replies
228 Views
NILIMUAMBIA; ACHAGUE KUMRUDIA MKE WAKE AU TUMFUNGULIE KESI YA UBAKAJI. UKATILI KAMA HUU HAUKUBALIKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. WIki hii nilipokea simu ya binti mmoja mwenye miaka 23...
0 Reactions
11 Replies
285 Views
Back
Top Bottom