Kauli hiyo inatoka katika Biblia, kitabu cha Waefeso 5:18:
“Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho.” (Waefeso 5:18)
Mtume Paulo alikuwa anawahimiza Wakristo kuepuka...
Nimeona mnaongelea dira ya 2050 kuhusu kuboresha AFYA za wananchi kuwa na TAIFA lenye wananchi wenye AFYA..
Kama hilo halitaendana na KUDHIBITI bidhaa za vyakula
1)energy drinks
2)pombe kali...
Msichana mwenye umri wa miaka 16 kutoka Kijiji cha Lyamidati, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga, ameokolewa dhidi ya ndoa ya utotoni baada ya operesheni maalumu iliyofanywa na...
Jifunze kujisamehe na kusamehe wengine Kusamehe ni muhimu sana katika kutuliza akili. Jifunze kusamehe makosa yako na kusamehe wengine ili uweze kuwa na amani ya ndani. Kumbuka, hakuna mtu asiye...
Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu.
Leo nitazungumzia kwa nini siku za...
Tunaomba msaada wenu kupaza sauti kuhusu changamoto inayodaiwa kusababishwa na kiwanda cha vinywaji kinachosemekana kuwa kinamilikiwa na METL Group, kilichopo eneo la viwanda, Mtaa wa Maziwa, Kata...
Siwezi kulala kama sijanywa kinywaji chenye gas na uzuri kinipalie daah
Yaani watu wajuzi sana aisee yaani maji yanachakatwa yanatiwa gas na ukinywa unapata radha nzuri pamoja na kubeua yaani nna...
Mpo mbioni na mimi naomba kujiondoa ofisini niwe hata mtu wa kawaida.
Ila familia zenu na chawa wenu watasaga meno.
Hivi mshawai kuona movie mkishushia juice na kutafuna bisi.
Subirini na uzi...
Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪...
Nikikumbuka uswahilini kuku anachaondolewa ni manyoya na kinyesi vengine vinabaki.
Kwa dunia ya sasa ijaweka wazi ila wanadai mwanadamu ambaye kashafariki anaweza kuondolewa viungo ndani ya mda...
Wakuu, hamjambo? Kama mada tajwa hapo juu inavyosema, mwenye kumjua mganga wa kienyeji kutoka iramba itapendeza sana akiwa ni mwanamke,nataka mambo ya ndagu na utajili. Kama humjui kaa...
Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza nyumba za askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Msambweni, Mapinduzi A, Kata ya Ngamiani Kusini, Tanga.
Moto huo umeteketeza...
Wathesalonike walikuwa wakazi wa mji wa Thesalonike, mji uliokuwa katika jimbo la Makedonia ndani ya Dola ya Rumi. Leo, mji huo bado upo na unaitwa Thessaloniki, ukiwa mji wa pili kwa ukubwa...
Simulizi ya Deborah, mwanamke anayejulikana mkoani Mbeya kama "mlevi mhubiri," ni kisa cha kweli kinachoonyesha jinsi msongo wa mawazo na changamoto za kijamii zinavyoweza kumwangusha mtu, huku...
Kuna dini za ajabu na za hovyo sana.
Kila siku kutisha watu kuwa duniani hapa ni sehemu mbaya ovu,haifai,ni makao ya shetani.
Na kuwa wameandaliwa makao eti peponi sijui firdaus.
Ila wapo hapa...
Habari,
Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama.
Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara...
Maadui 6 wa MWANAUME.
1. Kutumia pesa kabla ya kuzitengeneza.
2. Kutaka kuonekana tajiri kuliko kuwa tajiri.
3. Kuwekeza kwenye starehe kuliko kujijenga.
4. Kutafuta raha za muda mfupi.
5...
Mzee Thomas Filipi Silayo (75), mkazi wa Kijiji cha Mbomai Juu, Tarakea wilayani Rombo, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga wakati wa kikao cha kifamilia kilichokuwa kikijadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.