Nini kinakifanya uende bar ukanywe

Nini kinakifanya uende bar ukanywe

Kwa upande wangu ni kutafuta 🍑 za vodafasta.

Yani mkipata sehem yenye Giza tuu ni kubend then 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

Vipi wewe??

Kama hakuna Mpira.
Basi Mm ni kupoteza muda.
Kuongea na simu mbili tatu ambazo mchana zilinipita za ndugu na jamaa.
kukutana na wana kama kuna ishu 2 tatu za kudiscuss.
Au kurelax na heka heka za siku au wiki nzima.

Siendi bar kutafuta wanawake.
 
Unaongeaje na simu kwenye mziik mkubwa?
 
Back
Top Bottom