Mzee Thomas Filipi Silayo (75), mkazi wa Kijiji cha Mbomai Juu, Tarakea wilayani Rombo, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga wakati wa kikao cha kifamilia kilichokuwa kikijadili...
Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji...
Kijana kumuita baba yake dady,mtu na shangazi yake kuitana anti,mtu na mjomba wake kuitana anko tena ukiona hao watu wana mazea makubwa nawewe anza kutia shaka( ANKO,ANTI,DADY
Marko 1:8
Mimi niliwabatiza kwa maji; bali yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.
Waumini wengi wana amini kuokoka ni kutamka maneno kupitia labda mchungaji ndio umempokea Yesu kristo au...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo, amesema ameunda timu huru ya wataalamu kuchunguza tuhuma za ukiukaji wa...
Alfajiri ya leo tarehe 20.10.2018 imepokelewa na watu wengi kwa furaha kubwa baada ya kuenea taarifa za kupatikana salama mfanyabiashara kijana bilionea Mohammed Dewji... Ni furaha kwa familia...
*Madhara ya Kula Ugolo
1. Mfumo wa Chakula
Kichefuchefu na kutapika
Maumivu ya tumbo na kuchoma koo
Kuharisha
Vidonda vya tumbo
2. Ubongo na Neva
Kizunguzungu na kupungua fahamu
Kusahau na...
Mfano wilaya kubwa ya huko Ruvuma, Lindi, Mneya, n.k. igeuzwe iwe ya kulima mahindi na maharage tu
Kuna uwezekano watu wakapata uhakika wa mlo moja kila siku ?
Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi.
AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA...
Kuna jambo ambalo watu wengi hawalizungumzi.
Ukikataa kutoa hela, mara moja unaambiwa ni mchoyo, bahili, una roho mbaya, au "Mbinafsi."
Lakini ukweli ni kwamba, si kila anayekataa kusaidia ana...
Bila shaka umewahi kukutana na video hii iliyodaiwa kuwa Rais Trump alikuwa akisimulia jinsi Rais wa Ufaransa alipigwa na mkewe.
Lakini je, uhalisia ni upi?
Video hiyo inapotosha kwa kukatwa...
Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe.
***
Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya...
Wakuu,,
Habarini
Nimejaribu kuishi kwa kutumia mifumo lakini naona mambo hayawi! Mpaka sasa kipato changu cha mwezi ni 700k tu!!
Kwa majukumu niliyo nayo hii hela inaishia tu kula si wakujenga...
Wakuu kama mnavyoiona title hapo, imenifanya nije tupeana mawazo humu, maana ilivyonitokea badala ya kufurahi nikawa na hudhuni kwanza.
Jana nilitoka mtaani kumchukua kijana wangu, first born...
Biashara ya Huduma za UlinziBiashara ya huduma za ulinzi ni moja yuduma za UlinziBiashara ya huduma za ulinzi ni moja ya sekta zinazokua kwa kasi kutokana na ongezeko la mahitaji ya kulinda watu...
Wakuu Sina muda wa kuandika thread ndefu sana.
Lakini kwa ufupi sana kama wewe ni mfanya biashara wa mazao especially mahindi na mpunga njoo Mpanda -kapanga kama unaenda mwese.
Mahindi yanauzwa...
Akizungumza Julai 29, 2026, kwenye mahojiano na Crown Media, Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema Vijana yaani Gen Z kuandamana ni kutokana na ukosefu wa ajira na mitaji ndio...
Tujitafakari,
Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.