Egypt nae amefikiwa: Kumeaanza kuchangamka

Egypt nae amefikiwa: Kumeaanza kuchangamka

Makebo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2025
Posts
4,081
Reaction score
6,713
1785374049945.png
1785373925487.png
 
Egypt ni kigogo mwingine/giant aliyeko mashariki ya kati, iran kumchokoza ni kujipalia makaa ya moto, Egypt si jordan, kuwait, bahrain wala saudia.
 
Iran na proxies wake wanapiga US assets zote zote ambazo zipo karibu Yao na wanazoweza kuzipiga....Kuzuia Drone ni kazi ngumu Sana maana nchi zinazohost US assets na fighters jets ni nyingi middle east, yaani nchi za kiarabu karibu zote wamegeuka madalali wa US, halafu mafuta Na gesi hayahitaji shambulio kubwa Sana kuweza kuleta madhara.
 
Iran analichafuuaa ile mbaya
 
Back
Top Bottom