Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Manispaa ya Moshi iliyopo mkoani. kilimanjaro inayoongozwa na Mbunge wa CCM-Ibrahimu Shayo, Meya wa CCM ndugu Kidumuyo, RC naDC wa CCM ndio manispaa chafu zaidi kwa sasa. Kipindi CHADEMA wakiwa...
3 Reactions
28 Replies
472 Views
Huko India Mwanafunzi mmoja amedukua tovuti za vyuo viwili ambavyo aliomba nafasi ya kusoma Degree ya Usalama wa Mtandao (Cyber Security) lakini akakosa kwa kuonekana hana vigezo. Baada ya kunyiwa...
11 Reactions
15 Replies
390 Views
Wananchi wa Kijiji cha Mkumba, Kata ya Mpiruka wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama, hali inayohatarisha afya na ustawi wao...
3 Reactions
7 Replies
142 Views
Nina dakika chache za kuwa hapa lakini namtumia salama tu Mkurugenzi Manispaa ya Moshi, Mwajuma Nasombe aache kufungia biashara za watu soko la Mbuyuni. Wafanyabaishara hawa walipatwa na mkasa wa...
0 Reactions
6 Replies
394 Views
Wakuu kuna mtu kaniuliza sina majibu kamili.et Mtumishi anaweza kuhama taasisi kwenda nyingine?mfano kutoka TPA kwenda TRA lkn career moja na position zinafanana
3 Reactions
25 Replies
566 Views
Siyo sahihi kwa Mkristo kucheza gemu Kucheza gemu kwenye komputa au simu ni sahihi? Mfano gemu ya mpira, vita, kupigana, karata, magari, pool-table, na mengineyo, je ni dhambi? Kabla ya kujibu...
2 Reactions
11 Replies
170 Views
Utapelekwa mahakamani,na uchochezi wako,yaani kile ulichochochea kwa kukiandika kita wekwa mbele yako!,utakana lakini kwa nguvu ya teknolojia itakutambua,kwa tarehe,muda na sasa uliyoweka utumbo...
8 Reactions
49 Replies
802 Views
Kweli kabisa. Ajali za barabarani ni tatizo kubwa linalochukua maisha ya watu wengi kila mwaka, mara nyingi kwa sababu zinazoweza kuepukika. Baadhi ya tahadhari muhimu: Vaa mkanda wa usalama...
1 Reactions
2 Replies
111 Views
Kwa nini mimi sioti ndoto? Ni Maswali kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa hawapati ndoto ? Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto? Ndoto ni njia moja wapo ambayo Mungu au miungu wanaitumia kwa ajili...
6 Reactions
48 Replies
589 Views
Jamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zaoo_ONGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA...
5 Reactions
102 Replies
7K Views
Anonymous
Mama wajawazito wanalipia Tsh 10,000 Huduma ya kliniki (Zahanati ya Lilahi - Songea)
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Mwalimu anafanya kazi kituo kimoja mpaka anafanana na wanakijiji akiomba kuhama anaambiwa watumishi hawaatoshi 1. Huyo mtumishi amekaa kituo kimja zaidi ya miaka kumi, anaomba uhamisho tena...
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Back
Top Bottom