Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 2,372
- 2,105
Kitengo cha vodacare whatsapp namba 0754100100 hakitoi msaada wa kuchat na mtoa huduma. Ukichat nayo inakuacha kwenye taarifa ya "Tafadhali subiri wakati nikikuunganisha kwa mtoa huduma, kwa msaada zaidi"
Hapo utasubiri hadi ujikatie tamaa. Kama haina msaada ni heri itolewe kwenye orodha ya msaada ya kimtandao.
Hapo utasubiri hadi ujikatie tamaa. Kama haina msaada ni heri itolewe kwenye orodha ya msaada ya kimtandao.