Uliuliza Yale maji ya mwenye miwa? Au Ile sukari kwenye ndizi?Wakuu ukipasua nazi mle ndani unakuta mna maji nani kayaweka?
Umenifananisha mkuu, mwenye hizo stori sijui amepotelea wapiNje ya mada
Hivi we jamaa Equation x zile stories zako na mama J mbona siku hizi hauzileti tena? Ni kitambo sana
Sure?Umenifananisha mkuu, mwenye hizo stori sijui amepotelea wapi
Sijui amepotelea wapiSure?
Unamaanisha DeepPond?Nje ya mada
Hivi we jamaa Equation x zile stories zako na mama J mbona siku hizi hauzileti tena? Ni kitambo sana
Mungu wa nazi ndiye kaweka.Wakuu ukipasua nazi mle ndani unakuta mna maji nani kayaweka?
Naam, ndo huyo huyo. Nilimfananisha na Equation xUnamaanisha DeepPond?
Inaonekana mara ya mwisho alionekana jukwaani mwezi April.
Kila la kheri kwake, hope atarudi tena.Inaonekana mara ya mwisho alionekana jukwaani mwezi April.