Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimesikia kuna mtu anasema hadharani na wengine wanamsema wazi pia alikuwa mwizi kibaka anaibia watu mtaani ila sasa hivi katulia zake anatafuta riziki kwa njia halali. Mtu wa aina hii hatakiwi...
0 Reactions
13 Replies
145 Views
Je matatizo ya single mathers adi kuhofiwa kuolewa upya hayafanani na single father akitaka kuoa au tunavumiliwa sababu ya vipato,uchumi?
2 Reactions
52 Replies
507 Views
Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
4 Reactions
38 Replies
529 Views
Moja ya mambo yanayoua furaha, amani ya akili, na uwezo wa watu wengi leo si vita wala umaskini pekee bali ni tabia ya kujilinganisha na wengine. Unapoanza kupima thamani ya maisha yako, hatua...
3 Reactions
8 Replies
142 Views
Kwenu economists, electrical engineers, Insiders and planners, hivi magu aliwezaje ku-control issue ya umeme na haikuwa burden kama tulivyozoeaga? Karibuni. ===================...
1 Reactions
12 Replies
289 Views
Karibuni JF queens. Karibuni JF kings Mdada ulishawahi kumuacha mkaka kisa tu alikuwa hana uwezo mkubwa wa mali? Je unadhani ulifanya fair? Je upendo unahitaji gear ya pesa na matanuzi?
2 Reactions
8 Replies
135 Views
maamuzi mengine kumpa mtu magumu.... Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia.. BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni ( kwanini azime )red flag sign 2...miezi mitano...
5 Reactions
40 Replies
856 Views
Wengi wenu mna mapishi ya hovyo. Kwenye restaurant zenu vyakula ni vya kusubiri upikiwe ila vikiletwa mara nyingi havijaiva na vina ladha ya kukera. Ni lodge moja tu inaitwa Nyati kule Tunduma...
4 Reactions
18 Replies
212 Views
Uyo mwamba hanaga mambo mengi yeye ni like tu anapita zake anawaacha mkizichapa
15 Reactions
52 Replies
581 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Msichana wa miaka 16, mkazi wa Kijiji cha Msoga, Wilaya ya Chalinze, kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi, Hadija Hemedi Shaha (51), aliyekuwa mkulima...
3 Reactions
253 Replies
3K Views
Magari ya umeme (EV – Electric Vehicles) ni magari yanayotumia umeme badala ya mafuta (petrol/diesel). Badala ya injini ya mwako wa ndani (internal combustion engine), yanatumia electric motor na...
0 Reactions
1 Replies
680 Views
Jamaa ananiambia ofisini kulikuwa na changamoto kadhaa ofisini, wenzake wakamuomba awasemee kazini, siku ya kikao alieleza hoja zote walizokuwa wamekubaliana. Hata hivyo, uongozi ulipoanza...
6 Reactions
27 Replies
631 Views
Baadhi ya waislamu kwenye mitandao ya kijamii wanadai yanayomtokea Dotto Magari ni laana kutoka kwa Allah kwasababu amekua akiudhalilisha uislam kwa kula kitimoto na kuvaa cheni ya dhahabu ya...
7 Reactions
19 Replies
411 Views
Fikiria ukiwa katikati ya Bahari ya Hindi, mawimbi yakiwa yametulia na upepo mwanana ukipuliza. Ghafla, mbele yako unatokea kiumbe kikubwa kisicho na umbo la kawaida. Si nyangumi, si papa, wala si...
6 Reactions
14 Replies
364 Views
Hata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda. Unakuta mwanaume ana...
9 Reactions
19 Replies
238 Views
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Galula wilayani Songwe, Nisetas Dimoso amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji, kufuatia jitihada zake za kuzuia mifugo kupita ndani ya...
4 Reactions
38 Replies
607 Views
Salute. Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world...
64 Reactions
329 Replies
17K Views
Animals never let the weakest or least intelligent members lead their groups, unlike humans. Man thinks he is smarter than animals because he built a house. But animals can survive in snow, heat...
11 Reactions
93 Replies
930 Views
Umepata ka laki mbili, au kaelfu hamsin unakaweka akiba utazani ndio mwisho wa utafutaji na haupati tena. Hizo ni dalili za umaskini na wewe ni mvivu wa utafutaji hela. Ukipata hela irudishe...
7 Reactions
7 Replies
238 Views
Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa...
6 Reactions
16 Replies
301 Views
Back
Top Bottom