Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je ni mapema sana kupost hizi mambo ama tusubiri usiku? Nadhani muda huu ndio sahihi kwakuwa shughuli nyingi hufanyika nuruni.. Kuna watu muda huu wako mochwari na majonzi tele.. Tuwaombee sana...
14 Reactions
108 Replies
2K Views
Kuna wakati mwanadamu hufikiri kuwa nguvu ni kuwa na jibu kwa kila swali, kushinda kila mjadala, na kuonyesha kwamba yeye ndiye anayejua zaidi. Lakini kadiri unavyokomaa ndani, ndivyo unavyogundua...
23 Reactions
29 Replies
327 Views
Mada maalum ya uzao wa Afrika ambao haufahamiki sehemu kubwa ya dunia.. Ni picha na habari kwa niaba ya FB na mitandao mingine SIRI ILIYOFICHUKA KUHUSU MILLI VANILLI. MILLI VANILLI ni kikundi...
18 Reactions
2K Replies
73K Views
Kama Nuhu alikuwa Muislamu ilikuwaje akawachukua pia Nguruwe na tena akakaa nao ndani ya safina kipindi chote cha gharika?! Ona picture
2 Reactions
12 Replies
71 Views
Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni...
28 Reactions
145 Replies
2K Views
Baada ya kuishi Dar.. Nimegundua essentially watu wanao run hili jiji ni makabila mengine kabisa... Wazawa ni mazombie.. Kazi Kukesha vibarazani, kupiga zogo.. Hakuna jamii nzembe kama...
17 Reactions
172 Replies
2K Views
Kwenye imani za kijadi, unajimu, na tiba mbadala za kiasili, starfish (kiti cha pweza) hutumiwa kama kiungo cha kiroho cha kusafisha nyota, kuondoa nuksi, na kuvuta bahati kutokana na umbo na...
3 Reactions
9 Replies
91 Views
Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia...
9 Reactions
83 Replies
1K Views
Ilipita kama miezi 10 hivi sijapata muda wa kwenda kumuona mtoto wangu ambaye nimezaa na mtoto wa kitanga Basi bhana nikapanga safari yangu vizuri. Na nikaaga Kwa wife kwamba naenda Kusalimia...
2 Reactions
12 Replies
130 Views
Kama huna chakula usilete njaa zaidi duniani
9 Reactions
27 Replies
172 Views
Naomba mwenye taarifa zaidi anijuze mahali alipo na majina ya waliohusika kumpoteza kuanzia aliyetoa wazo mpaka watekelezaji wake. Asanteni.
6 Reactions
11 Replies
143 Views
Yes sir. Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently. Fikiria hivi. You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend. 1...
25 Reactions
136 Replies
1K Views
Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho. Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi...
19 Reactions
99 Replies
727 Views
Kumbe kutongoza ni kosa la jinai? Mkuu wa mkoa unakimbilia kituoni kisa umepigwa sound na mtoto wa kike?! Au mkuu ana umri chini ya miaka 18? Na kwa sheria za nchi yetu mtu mzima kutongozwa...
9 Reactions
30 Replies
219 Views
Kwa muda sana nimeona fani ya udaktari hasa nchi za banana republic ikidharauliwa kwa kuwa WENGI wao hawana pesa na hawazingatiwi stahiki zao. Wapo wachache waliokwenye sehemu za kimkakati...
4 Reactions
19 Replies
248 Views
Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱 Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya...
6 Reactions
8 Replies
218 Views
Kwa wachache wenye ubinadamu mtakua mnanielewa . Sisi wenye mioyo ya nyama nyingi tunaumia Sana na ongezeko la watoto wanaokosa huduma muhimu za kijamii .Hali inayowapelekea kuishi Katika...
29 Reactions
70 Replies
617 Views
Tabora mji tuna hangaika kwa ukosefu wa maji safi, mamlaka haina lolote inafanya kuondoa kero hii tuna maliza mwezi mmoja na nusu sasa. Hawasemi kama kuna shida, hawataoi rai yoyote, ila bili...
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Kama kichwa kinavyojieleza..; Nimefanya uchunguzi wangu mdogo nimegundua maisha ya kijijini yana unafuu na raha zaidi ya maisha ya mjini kwa kijana anayejitafuta..! Kijijini maisha si mazito kama...
2 Reactions
7 Replies
63 Views
Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media. Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na...
4 Reactions
2 Replies
55 Views
Back
Top Bottom