Kado MtotoWaMzeeWaSiku
New Member
- Jul 27, 2018
- 2
- 0
Tabora mji tuna hangaika kwa ukosefu wa maji safi, mamlaka haina lolote inafanya kuondoa kero hii tuna maliza mwezi mmoja na nusu sasa.
Hawasemi kama kuna shida, hawataoi rai yoyote, ila bili zinakuja tu na ni gharama kubwa wakati maji hayaja toka kwa mwezi wote toka July huko.
Ebu wahusika wajibikeni, sio kila raia ana mfumo wa matenki nyumbani kwake.