Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,355
- 2,768
Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? ๐ฑ
Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako ๐.
Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh na Reverse Charging ya 10W, hivyo unaweza kuitumia kama power bank kuchaji simu nyingine kupitia USB-C. ๐๐ฒ
Cha kuvutia zaidi na bado ina uwezo wa kukaa zaidi ya siku 40 ikiwa standby! ๐ณ๐ฅ Kama smartphone yako imeishiwa na battery ukiwa safarini, Nokia hii inaweza kuwa โemergency chargerโ mfukoni! ๐๐
๐ Nokia ya zamani, lakini idea mpya kabisa! Wewe ungeinunua kwa ajili ya backup battery? ๐